Sana...Duuh mkuu kwamba hii taarifa imekufurahisha?
Siku yoyote ikitoka ninayo...Kwanini mkuu au wewe siyo mpenzi wa open world games
Kama wamesema 2026 sisi wa pc ujue ni 2027 wataanza tu na Ps5.
Wanaringa sana hawa jamaa.
HaiwezekaniHivi GTA V ni free ninaweza ipata kwa smartphone nikaicheza tu vizuri?
Wanapiga hesabu za kupiga mpunga mrefu we unaita kuringa.Wanaringa sana hawa jamaa.
Yap, nasikia wameongeza character wa kike.Sema safari hii wajitahidi kuleta kitu kizuri, mwisho ikawa kama ya yale GTA V kuzidiwa na GTA IV kwenye physics