mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,432
Kwa wale players wa GTA v jifunze trick hii muhimu.
More Gaming videos GAMING - YouTube
Like subscribe also add me on PSN [HASHTAG]#wizzyquan[/HASHTAG]
Ila hii ni customed car mkuu. Ukishuka ukiingia mission unaweza ukaikosa. Na ndo maana mara nyingi kama hutumii personal vehicle unajikuta unaondoka kwenye mission kwa kutumia gari nyingine.Hapo franklin alishindwa kwenda kwa T na kuichukulia huko kama ilivyo wote hua wakifika kwa Michael hua wanachukua gari ya Amanda ama jimmy
yeah tugipange inaweza achiwa mwaka huuGTA 6 rumors are live.
Asee mi nachukua 3rd optionoyaaa wadau ile mission ya mwisho ni bora kum kill trevor au third option
dah hata mimi nachukua hiyoAsee mi nachukua 3rd option
Michael ni kama mentor kwa franklin took him when he was doing small repo jobs with Lamar and turn him into richest kid. Hapo kwa kawaida huezi muua Michael.dah hata mimi nachukua hiyo
ivi kweli unawauwa washkaji zako Akina Michael Na Trevor a.k.a The crazy Dude
We have nothing to do bro lazima tuchague The Third Way DeathwishMichael ni kama mentor kwa franklin took him when he was doing small repo jobs with Lamar and turn him into richest kid. Hapo kwa kawaida huezi muua Michael.
Trevor is Trevor. He is a dushbag a crazy ass a fucked up kind of a guy and all those makes him fantastic so yes i cant kill any of them. Japo ni kwenye game tuu ila napata tabu kuua mmoja wao
Kwa wale players wa GTA v jifunze trick hii muhimu.
More Gaming videos GAMING - YouTube
Like subscribe also add me on PSN [HASHTAG]#wizzyquan[/HASHTAG]
Haha ila all in all napenda the shooting experience ya GTA kuna saa basi tu yani nitachokoza mapolisi makusudi tu ili tuzichape hahahhahahahahhaWe have nothing to do bro lazima tuchague The Third Way Deathwish
Unatumia PC? Kama ndio njoo PMMkuu mimi shida yangu ni setup ya hiyo game
Dah asee mi niliangalia youtube Michael anavoanguka no i cant asee
feel pain kinoma
upo maeneo ganiUnatumia PC? Kama ndio njoo PM
Msasaniupo maeneo gani
cpu: Intel Core 2 Quad CPU Q6600 @ 2.40GHz (4 CPUs) / AMD Phenom 9850 Quad-Core Processor (4 CPUs) @ 2.5GHz