GSM waambieni watu wenu ukweli kuhusu Kisinda, Djuma Shabani. Simba mmedanganya bei ya Banda

Point yako hasa ni ipi hapo?

Ametangazwa lini, na wapi?

Ni mchezaji yupi ambao hao GSM walitangaza anauzwa $500K?! Au Haji Manara?

Sio kwa Vita SC tena? Yaani umeshasema Kisinda alikuwa mali ya Vita SC halafu hapa unatuambia pesa imeenda kwa Wakala wake?

A new football business model?

Hivi TV au Radio Station ya GSM inayotangaza hayo mambo inaitwaje nami nianze kuifuatilia?
Jamaa katugea info ya maana ila katumia lugha ngumu kidogo,acha kuwa mbishi,kama una info iliyo sahihi zaidi rusha hapa.
 
hawawezi kujibu swali kwamba djuma shabani yuko wapi? tuisila kisinda alikuwepo yanga kwa mkopo ama la? kilichobaki ni kupigian makelele tu
 
Mwaka 2019 Tk master alikua As vita kwa mkopo kutokea mineama fc na Yanga walipomsajili hela zilienda mineama fc.
Na kwa sawa ni mchezaji halali wa Yanga na hata atakaposajiliwa Yanga ndo watatoa taarifa rasmi.

Shida kubwa watanzania tunapenda propaganda na uongo uongo.
 
Jamaa katugea info ya maana ila katumia lugha ngumu kidogo,acha kuwa mbishi,kama una info iliyo sahihi zaidi rusha hapa.
Info ya maana?! Info haina ushahidi wowote bado unaita ya maana?! Hivi hayo manamba aliyoyaandika, wewe unaweza kushindwa kuyaandika na kusema kwa mfano, Kisinda analipwa laki 5?!

Unaweza kushindwa kuandika na kusema hata Khalid Aucho amechukuliwa kwa mkopo, na mwenyewe ametanguliziwa Sh 2 Million kwa sababu huna ulazima wa kuweka ushahidi wa maelezo yako!!
 
hawawezi kujibu swali kwamba djuma shabani yuko wapi? tuisila kisinda alikuwepo yanga kwa mkopo ama la? kilichobaki ni kupigian makelele tu
Cha maana ulichouliza ni kipi?

Nimekuuliza niwekee source kutoka Yanga au GSM iliyoeleza Djuma Shabaan amesajiriwa na Yanga, bado hujaweka hiyo source!!

Ikiwa wewe umeandika Tuisila alikuwa Yanga kwa mkopo bila kutoa ushahidi wowote, unaweza kumbishia mwingine atakayekuambia alisajiriwa kwa Billion 5 ikiwa suala la ushahidi halina umuhimu?
 
hawawezi kujibu swali kwamba djuma shabani yuko wapi? tuisila kisinda alikuwepo yanga kwa mkopo ama la? kilichobaki ni kupigian makelele tu
Jamaa unaandika kama bata,ngoja nikupe tips chache za uandishi.
Ukiandika jina la mtu anza na herufi kubwa,mfano:Shaban Djuma,Tuisila Kisinda,Mukoko Tonombe.
Alafu usiwe na pupa ya kupost ulichoandika kabla ya kuhiriri ili ulichoandika kieleweke.
Ukianza kuandika sentesi pia anza na herufi kubwa,mfano:"Leo sitopiga nyeto',,au "Ikifika saa sita usiku nitakwenda kupiga chabo gesti",au " Mimi nina gundu nakataliwa hata na Mwajuma ndala ndefu"
Haya andika sasa nione kama umeelewa somo.
 
Ukimaliza kunyooshwa na yule jamaa unakuwaga na akili sana
 
Haya sawa mimi nanyooshwa,ila angalau unaanza kuandika vema.
Hii sentensi yako umejitahidi kiasi.
Ukimaliza kunyooshwa na yule jamaa unakuwaga na akili sana
Jitahidi uwe unaweka nukta mwisho.alafu usepende kutumia"ga"mwisho wa neno.mfano:Unakuwaga=Unakuwa.
Unamalizaga=Unamaliza.

Haya andika tena sentesi nyingine nione kama unanielewa au bado.nipo bar na kabinti ka under twenty hapa nakalainisha kwa bia ili niende nikakatafune kwaiyo usihofu bado nipo macho.
 
nipo boss ......HAKIMBII MTU HAPA TUTAKESHA HADI SUBUHI.....sarpong kakaza huko anataka milioni 78 kuvunja mkataba matahjiri wenu wanamdanganya wampe mshahara wa miezi miwili asepe KAKATAAAAAA.mmetoa bilioni 1.2 kwa as vita mkashindwa kumalizia milioni 40 ya huyo Djuma? LIARA LIAR PANTS ON FIREEEEEEEEE
Ukisikia kukimbia ndo huko jombaa!!

Nimekuuliza maswali kuhusu Kisinda na Djuma, hujajibu hata moja na matokeo yake umeamua kukimbilia kwa Sarpong 🤣 🤣 🤣 🤣 !!

Jibu maswali niliyokuuliza kuhusu Kisinda na Djuma, kisha tuhamie kwa Sarpong!!

Na usisahau kujibu lile swali la Wakala wa Kisinda kuchukua transfer fee ya Kisinda wakati umeshasema Kisinda ni mchezaji wa AS Vita!!! Ndo maana nikakuuliza, ina maana kuna new football business model ambapo Wakala anachukua transfer fee??!!

Jibu hayo kwanza....
kama hujaelewa kwa nini umesema nimeongea kishabiki, ni kwamba tuisila kisinda anenda berkane ya moroco inayofundishwa na florente ibenge ,utopolo wanadanganya wamemuuza ila ukweli ni kwamba kisinda alikuwa yanga kwa mkopo so hela hii inaliwa na wakala wake na kisinda mwenyewe\
Kwahiyo kama mchezaji alikuwa kwenye klabu kwa mkopo, endapo Mchezaji huyo atauzwa, transfer fee inaenda kwa Wakala na Mchezaji?
djuma shabani kuna hatihati ya kuja bongo GSm walikiuka masharti hawakumalizia usd 20,000 kabla ya august
Hati hati tena?!! Au umesahau ulisema:-
djuma shaban haji tena baada ya kushindwa kumaliziwa usd 20k by august..take it from me.
Sasa kuna hati hati ya kuja au HAJI TENA? Au hiyo "haji" ulikuwa unamaanisha Haji Manara?
Wachezaji wote waliosajiliwa na simba,azam,yanga wako dsm an leo walikuwa muhimbili kupigwa chanjoya covid 19 teams zote 3 umemuona djuma shaaban?
Halafu nakumbushia swali langu: Ulitaka umuone Djuma huko Muhimbili, kwani ni lini Yanga ilitangaza imemsajiri Djuma?! Hizo habari ulizipata Mwamedi TV au Da' Babra TV? Hebu jibu hako kaswali kadogo
 
Ukisikia kukimbia ndo huko jombaa!!

Nimekuuliza maswali kuhusu Kisinda na Djuma, hujajibu hata moja na matokeo yake umeamua kukimbilia kwa Sarpong 🤣 🤣 🤣 🤣 !!

Jibu maswali niliyokuuliza kuhusu Kisinda na Djuma, kisha tuhamie kwa Sarpong!!

Na usisahau kujibu lile swali la Wakala wa Kisinda kuchukua transfer fee ya Kisinda wakati umeshasema Kisinda ni mchezaji wa AS Vita!!! Ndo maana nikakuuliza, ina maana kuna new football business model ambapo Wakala anachukua transfer fee??!!

Jibu hayo kwanza....

Kwahiyo kama mchezaji alikuwa kwenye klabu kwa mkopo, endapo Mchezaji huyo atauzwa, transfer fee inaenda kwa Wakala na Mchezaji?

Hati hati tena?!! Au umesahau ulisema:-

Sasa kuna hati hati ya kuja au HAJI TENA? Au hiyo "haji" ulikuwa unamaanisha Haji Manara?

Halafu nakumbushia swali langu: Ulitaka umuone Djuma huko Muhimbili, kwani ni lini Yanga ilitangaza imemsajiri Djuma?! Hizo habari ulizipata Mwamedi TV au Da' Babra TV? Hebu jibu hako kaswali kadogo
wamekuita siyo karibu sana wanakusifia kwamba huwa unawanyoosha , jibu kwanza hoja zangu halafu tuendeleee
issue za utopolo ziko nyingi sana siyo sarpong tu hata babu Hans keshawashtaki huko anataka hela zake

propaganda zenu hazinitoi kwenye rail..Where is Djuma shaban kama mlitoa 1.2 billions mbona usd 20k ya kumalizia kwenye 45 usd k haikutoka on time?
 
hawawezi kujibu swali kwamba djuma shabani yuko wapi? tuisila kisinda alikuwepo yanga kwa mkopo ama la? kilichobaki ni kupigian makelele tu
Kabla hujaendelea kutudai mbona Djuma hakuwa Muhimbili, tuambie kwanza ni lini na wapi Yanga ilimtangaza Djuma Shabaan kwamba mchezaji wake!!!
 
Hilo swali usirudie tena kuuliza , hata wanaokutetea wanakushangaa.Yaani unavyoliuliza utadhani huko utopoloni team inaendeshwa kwa utaratibu,yale mapicha na jezi kule congo waliyorelease Gsm hukuyaona kavaa jezi anasaini?

Na kwa taarifa yako hiko ndicho kimemuudhi sana kwa sababu walikubaliana by august amaliziwe dollar 20k iliyobaki ili atangazwe rasmi akashangaa kuona picha zimeachiwa ili kutuliza munkari ya wana kidimbwi ambao kwa miaka 4 sasa huwa wana furaha kupitiliza ifikapo kipindi cha usajili

**picha ya chini ni kumbukumbu ya keeper bora kabisa aliyefananishwa na De gea***alileta furaha sana kipindi cha usajili

kindoookiii.jpeg
 
wamekuita siyo karibu sana wanakusifia kwamba huwa unawanyoosha , jibu kwanza hoja zangu halafu tuendeleee
issue za utopolo ziko nyingi sana siyo sarpong tu hata babu Hans keshawashtaki huko anataka hela zake
Hoja ipi?! Itaje hapa....

Au umesahau ni wewe ndie hujajibu yafuatayo:-
1. Lini na wapi Yanga ilitangaza Djuma Shabani ni mchezaji wake?

2. Lini na wapi Yanga ilitangaza imemnunua Djuma Shabani kwa $500K?

3. Kama Kisinda alikuwa Yanga kwa mkopo, na hivi sasa anauzwa huko Morocco; sasa how come transfer fee iende kwa Wakala na Mchezaji as if hakuwa chini ya klabu yoyote?

Nimekuambia kabla hujaleta habari za akina Sarpong, mara Molinga, jibu hayo maswali matatu kwanza!!!
propaganda zenu hazinitoi kwenye rail..Where is Djuma shaban kama mlitoa 1.2 billions
Weka screenshot au video/audio clip kuhusu Yanga/GSM kusema hizo unazoita propaganda!!
mbona usd 20k ya kumalizia kwenye 45 usd k haikutoka on time?
Weka screenshot au video/audio file ya hayo madai yako!!! Yaani unataka kudanganya watu wewe unajua mambo ya usajiri wa timu zooooooote Tanzania hii, na viwango vyao wakati Tanzania hawana utamaduni wa kutaja viwango!!!

Yaani unajua habari za ukweli na za uongo kuhusu madau yanayolipwa na Yanga, Simba, na hadi Azam?! Acha habari zako bhana!!! Yaani unaokoteza vi-post vya Instagram ndo unavileta hapa?!
 
Source yako ni Mwamedi au Babara? Btw, nimebisha au nimekuambia tofautisha kati ya signing fee na transfer fee!!! Wewe umedai Propaganda Machines za GSM zilisema thamani ya Djuma ni Sh 1.2 Billion!!!

Now tell me, hiyo 1.2Billion ni transfer or signing fee?

Halafu ngoja... nimegundua unakwepa baadhi ya maswali... huwezi kukimbia kirahisi namna hiyo!!!

Ulisema Tuisila ni mali ya AS Vita; sasa how come tena transfer fee ikaenda kwa wakala? Au ulimaanisha signing fee ndiyo ilienda kwa wakala?

Hebu nioneshe post kutoka Yanga au GSM inayosema Djuma Shaaban amesajiriwa na Yanga!!!
Safi sana unajua kuchambua
Nalog off
 
Hoja ipi?! Itaje hapa....

Au umesahau ni wewe ndie hujajibu yafuatayo:-
1. Lini na wapi Yanga ilitangaza Djuma Shabani ni mchezaji wake?

2. Lini na wapi Yanga ilitangaza imemnunua Djuma Shabani kwa $500K?

3. Kama Kisinda alikuwa Yanga kwa mkopo, na hivi sasa anauzwa huko Morocco; sasa how come transfer fee iende kwa Wakala na Mchezaji as if hakuwa chini ya klabu yoyote?

Nimekuambia kabla hujaleta habari za akina Sarpong, mara Molinga, jibu hayo maswali matatu kwanza!!!

Weka screenshot au video/audio clip kuhusu Yanga/GSM kusema hizo unazoita propaganda!!

Weka screenshot au video/audio file ya hayo madai yako!!! Yaani unataka kudanganya watu wewe unajua mambo ya usajiri wa timu zooooooote Tanzania hii, na viwango vyao wakati Tanzania hawana utamaduni wa kutaja viwango!!!

Yaani unajua habari za ukweli na za uongo kuhusu madau yanayolipwa na Yanga, Simba, na hadi Azam?! Acha habari zako bhana!!! Yaani unaokoteza vi-post vya Instagram ndo unavileta hapa?!
Utaandika sana magzeti bwashee unatarajia Gsm atoke leo kusema Djuma kachomoa karudisha advance money 25 k usd?
Unatarajia wasema Sarpong kakataa kuvunja mkataba bila milioni 78?
Ulichokisoma kwangu ni sawa na kidonge kichungu kimeze tu kama vile propaganda za Gsm zinazolipiwa kwa maulid kitenge, Priva..gazeti la mwanaspoti basi vumilia tu utachokisoma
na mwendo ni huuu huuu hadi huu mwezi uishe fasten your belt bwashee brace yourself for the bumpy ride
 
Hilo swali usirudie tena kuuliza , hata wanaokutetea wanakushangaa.Yaani unavyoliuliza utadhani huko utopoloni team inaendeshwa kwa utaratibu,yale mapicha na jezi kule congo waliyorelease Gsm hukuyaona kavaa jezi anasaini?

Na kwa taarifa yako hiko ndicho kimemuudhi sana kwa sababu walikubaliana by august amaliziwe dollar 20k iliyobaki ili atangazwe rasmi akashangaa kuona picha zimeachiwa ili kutuliza munkari ya wana kidimbwi ambao kwa miaka 4 sasa huwa wana furaha kupitiliza ifikapo kipindi cha usajili

**picha ya chini ni kumbukumbu ya keeper bora kabisa aliyefananishwa na De gea***alileta furaha sana kipindi cha usajili

View attachment 1886697
Sasa ndo madudu gani umeyaweka hapa?! Nimekuuliza ni wapi Yanga au GSM walimtangaza Djuma Shabaan kama mchezaji wa Yanga, ndo unaweka huo kama ushahidi?!

Anyway, hebu tuangalie hapa:-
Djuma.png

Yule "Mkali" wako wa info ndo huyu hapa!!! Baada ya kumbana aweke ushahidi, kaja na kipande cha gazeti la Mwaka 2018 akidhani watu hatutafahamu 😅 😅 🤣 🤣 !!!

Yaani hana official post ya mwaka 2021 lakini anavyo vipande vya magazeti vya tangu 2018!!
 
Utaandika sana magzeti bwashee unatarajia Gsm atoke leo kusema Djuma kachomoa karudisha advance money 25 k usd?
Unatarajia wasema Sarpong kakataa kuvunja mkataba bila milioni 78?
Ulichokisoma kwangu ni sawa na kidonge kichungu kimeze tu kama vile propaganda za Gsm zinazolipiwa kwa maulid kitenge, Priva..gazeti la mwanaspoti basi vumilia tu utachokisoma
na mwendo ni huuu huuu hadi huu mwezi uishe fasten your belt bwashee brace yourself for the bumpy ride
Acha uboya wewe!! Yaani unashindwa kuweka source kwa taarifa ambazo hazina hata miaka 3 badala yake unatuletea vipande vya gazeti la tangu 2018 ambalo halitoi hata nukta ya maswali niliyokuuliza?!
Djuma.png
 
Mwanamke unajua kuchamba sana wewe

Pilipili ya shamba inakuwasha
 
Sasa ndo madudu gani umeyaweka hapa?! Nimekuuliza ni wapi Yanga au GSM walimtangaza Djuma Shabaan kama mchezaji wa Yanga, ndo unaweka huo kama ushahidi?!

Anyway, hebu tuangalie hapa:-
View attachment 1886706

Rodwell mTZ,

Yule "Mkali" wako wa info ndo huyu hapa!!! Baada ya kumbana aweke ushahidi, kaja kuweka gazeti la Mwanaspoti la Mwaka 2018 akidhani watu hatutafahamu 😅 😅 🤣 🤣 !!!

Sasa ni nani basi mpiga propaganda kati yako na akina GSM?! Yaani unatuletea magazeti ya 2018 ku-support uongo wako unaoutoa 2021?!

Sa' unapiga uongo wote huo kwa manufaa ya nani?!
UNAJUA MAANA YA MANENO PICHA YA CHINI NI KUMBUKUMBU?WE BWEGE KWELI WEEE
 
Back
Top Bottom