GSM signal booster

Jaluo_Nyeupe

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
2,809
2,231
Wakuu naulizia kama kuna mtu amewahi kutumia hizi mobile phone signal booster na ufanisi wake kabla sijaagiza. Shambani kwangu kuna baadhi ya maeneo yanapatikana mtandao lakini kwa taabu sana.
e2529caf3f0fc80d12c6598ed459408d.jpg
Booster yenyewe ndio hii.
 
mkuu kuna zile case hupati network ila ukipanda juu ya mtu unaipata itakusaidia kuboost network ila kama network ni ndogo let say mtaa mzima haitasaidia.

umejaribu kutumia mtandao kama halotel na smart hawana network nzuri hapo kwenu?
 
Asante mkuu kwa kunijibu. Hakuna mtandao mwingine eneo hilo. Isipokuwa mtandao upo baadhi ya maeneo ila ni kwa taabu mf. kwenye kona ya chumba fulani au nje upo ila ukiingia ndani unapotea.
 
kama ni original itasaidia mkuu, itachukua network ya nje au kwenye corner ya hio nyumba na kuisambaza,

unahitaji kwa ajili ya internet au simu za kupiga?
 
Hata mimi nahitaji hiyo kitu maana mtandao unapatikana sehemu moja tu ya nyumba ukishusha simu hupati kitu
 
kama ni original itasaidia mkuu, itachukua network ya nje au kwenye corner ya hio nyumba na kuisambaza,

unahitaji kwa ajili ya internet au simu za kupiga?
Kupiga na intaneti mkuu. Kabla sijaagiza nilitaka kupata ushuhuda kuhusiana na ufanisi wake.
 
Haina matokeo ya maana, kwenye whatsapp hasa ku upload picha na clips ina Fail kabisa afadhali kdg simu kawaida by 50%
 
kama ni original itasaidia mkuu, itachukua network ya nje au kwenye corner ya hio nyumba na kuisambaza,

unahitaji kwa ajili ya internet au simu za kupiga?
Chief kwema.
Nataka kununua hicho kifaa AliExpress kwa ajili ya ofisini maana nje kuna mtandao lakini ukishaingia ndani ndani hata kupiga tu simu huwa inakuwa tabu. Je hichi hapa kitanifaa. Nataka kupata na internet 4G. Ofisi ipo town Arusha

TZS 216,373.26 53%OFF | Cellular Repeater GSM DCS WCDMA 900 1800 2100 Tri Band 2G 3G 4G Signal Booster Mobile Signal Amplifier 2 Indoor Antennas Set
 
.
Screenshot_2021-03-31-06-13-44-524_com.alibaba.aliexpresshd.jpg
View attachment 1739180View attachment 1739179
 
Chief kwema.
Nataka kununua hicho kifaa AliExpress kwa ajili ya ofisini maana nje kuna mtandao lakini ukishaingia ndani ndani hata kupiga tu simu huwa inakuwa tabu. Je hichi hapa kitanifaa. Nataka kupata na internet 4G. Ofisi ipo town Arusha

TZS 216,373.26 53%OFF | Cellular Repeater GSM DCS WCDMA 900 1800 2100 Tri Band 2G 3G 4G Signal Booster Mobile Signal Amplifier 2 Indoor Antennas Set
Frequency zina match, Fuata hayo maelekezo kuchek signal Kwanza
 
Back
Top Bottom