***Heri ya siku ya kuzaliwa BelindaJacob!***
.........wow!! you're my age mate, I will be 27 this Saturday. Happy birthday to U, wish u long life and prosperity.
Happy birthday dada Belinda!!Hope you had a wonderful birthday!!!
Happy bday 2 uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu haya tumuimbie be wote kwa pamoja
zawadi ya kawimbo haka u shake shake
dah, kweli mi mzee!!!Wapendwa,
Namshukuru sana Mola kwa kuniwezesha kufika siku hii salama..leo nagonga 27 nikiwa na afya pia nguvu tele.
Hakutakuwa na Bday party, inshallah mwaka mwingine tukijaliwa uzima.
Nawapenda sana na tuendelee kuelimishana/kuchanganua uwanja huu huku tukilijenga Taifa letu kwa hali na mali.
Baraka tele mjaaliwe katika maisha na majukumu yenu ya kila siku.
Wa dhati,
BelindaJacob!!...BJ.....
xoxoxoxo
hahahaha! Sisemi kitu hapo. LolHusninyo nahisi wewe ni under 25..ha ha
Duh! nimechelewa kuiona hii job tru tru hahaha! wishing you a happy birthday,good health and lots of happiness.
kumbe wengi wajukuu zetu humu ndani.
dah, kweli mi mzee!!!
aisee....:A S cry:
Happy BD BJ,
may your lips grow pinkier
and you grow prettier
hahahaha! Sisemi kitu hapo. Lol
hepi bethi dei dada belinda ingawa wanasemaga sio ujanja kutokufa mapema,ila natakutakia maisha mareeeeeeeeeeeeeefu'.........
Feliz cumpleaños Belinda,Dios te Bendiga.
Hongera sana BJ,
kumbe bado Mwali/Kigoli kabisa
Happy bday 2 uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu haya tumuimbie be wote kwa pamoja
zawadi ya kawimbo haka u shake shake
Hongera mdogo wangu,uzidishiwe hekima,busara,upendo na uchaji wa Mungu.