japhet nkwabi
Member
- Mar 8, 2013
- 91
- 16
Wataalamu nisaidieni kuhusu tetesi za mtu mwenye damu group o postive kuwa ni ngumu kunasa maambukizi ya vvu, msaada plz
Ukishajua? Unataka ukaloweke kila mahali?
Yaani mm napenda sana comments zako