Group interview access bank

Group interview access bank

missa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
360
Reaction score
193
Hello wana jf,
Naomba kujuzwa kwa mtu yoyote anayejua kuhusu group interview accessbank bank huwa ni interview za namna gani?nilifanya written pale mwanza branch,sasa baada ya hiyo nimeambiwa niende kwenye group interview. kwa anayefahamu tafadhali anijulishe inakuwaje hiyo group interview?

thanks in advance!!
 
kaka sijawahi kufanya ta aina hyo bt nahic ni kuchek role yako/contribution in a group ukifika huko jst talk chochote tu onyesha uko active
 
poa mkuu,nashukuru kwa mchango wako.
 
missa nime google nimeona hii pia

mtandao una mifano mizuri sana kujua mambo ya kihivyo yakoje

hii ni copy paste

[h=2]How to succeed in a group interview[/h]Group interviews are a popular way for employers to assess a large number of applicants in a cost effective andtimely manner. They're often used so to determine qualities such as communication/ influencing / leadershipskills and are a good way to test how well job applicants will behave in a stressful environment.

Structure
Normally an employer will start by giving a presentation of the company and give everybody the opportunity to introduce themselves. They'll normally then outline the structure of the day and the tasks that will be undertaken; which could include role plays, group discussions or problem solving exercises. During the day there's normally very little one to one interaction with the interviewers, instead they'll be seated around the room quietly observing and taking notes.

Top Five Tips on how to make an impression and stand out from the crowd:
No matter what format the interview takes, the following guideline should be followed:

1. Engage
For naturally quiet people, group interviews can be intimidating but you need to remember that your contribution can't be assessed unless you participate. You need to get actively involved in the discussion, express your views, stand-up and be counted.

2. Avoid confrontation
During the group exercise, you'll be assessed on your ability to deal with conflict and how well you can manage strong personalities. Never raise your voice. Always listen to other people's point of view before putting forward you own. Be sure to back up and justify your own position, outlining the benefits of pursuing your suggested course of action.

3. Accept good ideas
Never be afraid to accept somebody else's ideas if you feel they're better than your own. Remember a good leader doesn't operate in isolation but achieves results by getting the best out of each team member and encouraging the group to work cohesively as a unit.

4 Be inclusive
The quiet person sitting in the corner may well be the smartest person in the group. Encouraging their involvement will reflect well on you.

5. Body Language
The interviewer will be observing you throughout the whole process so it is important to actively listen, smile and be attentive at all times.

Happy interviewing!
 
Last edited by a moderator:
group interview ya access bank huwa wanatoa debate topic then mnaambiwa mgawane opposers na proposers then mnapewa dakika tano za kujiandaa afu debate inaanza , ikiisha hy ya debate wanaanza kukuuliza mmoja mmoja maswali ya kawaida ya interview unayoyajua tofauti ni kwamba tuu pale mnaaulizwa mkiwa wote. source ni mie mwnyw
 
thanks mzurimie and mzurisana,mmenitoa gizani sasa nimeelewa kifuatacho mana nilikuwa sielewi chochote,thanks god bless for using your time.
 
thanks mzurimie and mzurisana,mmenitoa gizani sasa nimeelewa kifuatacho mana nilikuwa sielewi chochote,thanks god bless for using your time.
Like basi wenzio wamekutoa tongotongo we unaleta hadithi?
anyway nimependa na ile post ya Mzurimie asante mi ni mmoja wa ulionifumbua sana macho kuhusu group interview!

Ahsanteni sana, nilikuwa sijawahi kusikia kitu inaitwa group interview
 
Kwa kuongezea wakati mwingine wanatoa swali na kisha mnapewa kudiscuss kwa muda mfupi kisha mnafanya presentation.Kwa mfano mwaka jana Kampuni ya sigara walitumia muundo huu.Katika group letu tulikuwa 9 na watupa swali la kujadili ambalo ni "What methods can you use to sell a controversial product in the society." Cha kuzingatia jitahidi upate sehemu mojawapo ya kupresent hata unaweza omba part ya conclusion au introduction.Hii inakuongezea nafasi za kuchaguliwa mkuu.
 
nimeshawahi kuifanya hyo ya group na nikapita pale kijitonyama na oral nikapita nikawa loan kwa siku 5 nikapiga chini nipigie kwenye 0713835905 nikupe maujuzi
 
Hello wana jf,
Naomba kujuzwa kwa mtu yoyote anayejua kuhusu group interview accessbank bank huwa ni interview za namna gani?nilifanya written pale mwanza branch,sasa baada ya hiyo nimeambiwa niende kwenye group interview. kwa anayefahamu tafadhali anijulishe inakuwaje hiyo group interview?

thanks in advance!!

nipigie 0713835905
 
nimeshawahi kuifanya hyo ya group na nikapita pale kijitonyama na oral nikapita nikawa loan kwa siku 5 nikapiga chini nipigie kwenye 0713835905 nikupe maujuzi

mie pia nahic tulikuwa wote , ila me niliishia group interview hawakuniita tena for individual interview, vp tena ukaacha?
 
watatoa topic mjadili inakuwa kama debate flani so wanacheck uwezo wako wa kuongea,la muhimu ucjifanye mjuaji sana wala kilaza sana uwe normal 2.mi nilipga hyo mwanza branch.best wshz
 
Asanteni kwa ushauri wenu wadau na kunipa mwanga na pia kuniwish, God bless u all!!
 
mnawekwa kwenye chumba mnakua mnaulizwa baadhi ya maswali ya kujielezea lakini mwanzoni mnaeza kupewa
topic then mnaambiwa muwe divided ktk grup za mtu 5 n.k then mdiscuss kwa sauti, they just to know team spirit na
jinsi kila mmoja anavoweza ku-suggest point na kuitetea, ni hayo tu.

source: i waz there myself last year!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom