Ground water survey: Wakazi wa Moshi na mikoa ya jirani mjiandae

Nov 10, 2015
45
1
Habari wana jf, hii ni fursa kwa wakazi wa Moshi na waliopo mikoa ya jirani na moshi tutakuja kufanya Ground water survey maeneo ya huko kuanziya tarehe 8/12/2015 kwa yeyote atakaye hitaji huduma yetu tafadhari piga simu mapema ili tuweze kukuorodhesha katika wateja tutakaofanya nao kazi katika program hiyo.

Gharama zetu ni shillingi Laki saba tu (700000tshst)

Piga simu namba 0659839446

NB:wateja kumi wa kwanza watapata discount ya 14.28%
 
Back
Top Bottom