Bei mpya za uchimbaji wa visima, ground water survey na pump installation

tawa driller

JF-Expert Member
Dec 11, 2015
296
250
Habari wana jf.Natumai ni wazima wa afya,sisi ni vijana wajasiliamali tunaojihusisha na masuala yahusuyo uchimbaji wa visima vya maji.
Ili uwe na kisima chako cha maji ni lazima kuna baadhi ya hatuwa itakubidi uzifuate.Nazo hatua hizo ni kama nilivyo ziainisha hapo chini,
1. Itakubidi uchimbe kisima (kizuri ni cha kuchimba na mashine sio na mikono)
2. Kisima chako itabidi kiwekwe casing (pvc[screen and plane])
3. Pia itatakiwa kiwekwe Graves
4. Kisha itawekwa pump iliyounganishwa na waya ulioyoka kwenye control box na pia pampu iliyoonganishwa na poly pipe kwa ajili ya kupitisha maji
5. Pia pump lazima ifungwe na kamba,mara nyingi tunapenda kutumia kamba za Manila kwa sababu ni imara na pia ni ngumu kuoza.
6. Baada ya hapo maji yatapandishwa kisha yatachukuliwa sample yake ili yakapimwe kama ni salama kwa matumizi ya binaadamu,mifugo au mimea

Nb. Kabla ya kufunga pampu kisima kina takiwa kiflashiwe ili kiachwe kikiwa kipo safi kabisa.

Hizo zote ni baadhi ya huduma ambazo pia tunazitowa,japokuwa kuna baadhi ya huduma kama kupima maji bado hatujaanza kutoa hiyo huduma, ila kama mteja atataka tumsaidiye kufanya hiyo huduma tutamsaidia kupitia kwa watu wengine.

Bei/gharama zetu za huduma:

Kuchimba kisima tunachimba kwa shillingi elfu sitini (60000) kwa mita moja hii ni bei kwa walioko Dar es salaam
Kwa walioko nje ya dar es salaam tutakubaliana kutokana na mkoa mteja alipo.
Na kwa bei hiyo tajwa hapo juu ni pamoja na usafili na ufungaji wa pampu unakuwa juu yetu.

Mfano: uchimbaji wa kisima cha mita 90 gharama yake ni...
Mita 1 = 60000 tsh
Mita 90 = y
Cross multiplication
Mita 90 × 60000 tsh/mita 1y
Cut Mita both side
90 × 60000tsh/1
5400000tsh
Kwa hiyo gharama za kuchimba kisima cha mita 90 ni shillingi millioni tano na laki nne...gharama hizo ni pamoja na pampu.
Hapo mteja atatakiwa kununuwa maji yatakoyohitajika katika uchimbaji wa kisima na maji hayo yana uzwa tanki moja la lita elfu moja ni shillingi elfu kumi na tano.

Gharama/bei za ground water survey...
Kwa suala la upimaji wa uwepo wa maji tunachaji shillingi 250000 kwa mkazi wa dar es salaam, kwa mteja aliyepo nje ya dar es salaam tunaaanziya kuchaji shillingi laki tano lakini itategemea na mteja alipo.

Njia ya malipo:
Malipo ya ufanyaji wetu wa kazi huwa tunafanya tunapokuwa tupo site, tukishafika site kwa mara ya kwanza pamoja na vifaa vyetu vyote kwa ajili ya kuanza kazi hapo itabidi mteja atowe asilimia 65 ya gharama nzima.Ambayo hela hizo ndizo itakazo tumika kununulia vifaa vya kisima.

Mahali tulipo:
Offisi zetu zipo morogoro wilaya ya kilosa lakini baadhi ya vifaa vyetu vipo Dar es salaam kwa hiyo mteja akituhitaji kama yupo dar es salaam tunaweza kumfanyia kazi kwa gharama zetu za usafili na malipo yatafanyika tutakapo fika site tukiwa na vifaa vya uchimbaji.

Mawasiliano:
Piga simu namba 0625576082
Karibuni nyoote tuwahudumie
 
CHAZA

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
7,469
2,000

Piga simu namba 0628080096
Karibuni nyoote tuwahudumie[/QUOTEKwanza hongera kwa ubunifu. Hata hivyo manila siyo recommended sana kwa sababu zinaoza. Kuna Marine String/rope hiyo ndiyo inayovumilia kuwa kwenye maji kwa muda mrefu.

Vipi munaweza kudetect Salinity(uchumvi chumvi) kabla ya kuchimba au lazima muchimbe kwanza? Na vipi binafsi muna vifaa vya kuangalia kama maji yako contaminated,yana corrosive impurities?!

Kinachosumbua kwa Dar na miji mingi ya pwani ni Chumvi, nikikumbuka swala hilo naboreka kabisa, unachimba kisima unaambulia chumvi ya uvinza. Ndiyo maana nimeuliza uwezekano wa kudetect chumvi wakati wa survey kabla ya kuchimba maana ni hasara sana
 
aikaruwa1983

JF-Expert Member
May 6, 2011
1,394
2,000
Ndugu wana jamii kama ukishindwa kunipigiya nitumie hata mesegi watsapp

naomba msaada wa maelezo kidogo!
pamoja na gharama zote za kuchimba naona ni kama 5M hivi... kama maji yakapatikana ila yakawa si salama kwa binadamu na mazao inamaana inakuwa imekula kwangu.... vipi hakuna wataalamu wakucheki kwanza kabla hamjaanza kuchimba na kujua maji yaliyoko chini maana nimeshuhudia watu wamechimba visima wamepata maji ya chumvi sana(kwa Dar)....
hapo umesema mita ni elfu 60 hizo gharama nyingine za PVc na pampu zinakuwa juu ya mteja au ingekuwa poa ungechanganua maana ukicheki kwa jicho la tatu kuchimba kisima inafika M10 kwa quatation yako mkuu au?
 
donbeny

JF-Expert Member
Aug 19, 2013
3,511
2,000
Nimekupata mkuu nitakutafuta ,ila nataka kujua maji yatajulikana ubora wake kabla ya kuchimba kisima?
 
Dengue

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
1,809
2,000
Lindi mnaweza kwenda??

Na mita itakuwa bei gani?

Ni Lindi Mjini.
 
aikaruwa1983

JF-Expert Member
May 6, 2011
1,394
2,000
Nimekupata mkuu nitakutafuta ,ila nataka kujua maji yatajulikana ubora wake kabla ya kuchimba kisima?

kama sijakupata vile ila ni vyema tukajua kilichopo chini namaananisha maji kwa matumizi ya binadamu na mazao then ndio tufanye kazi.... nina kieneo kiko kongowe(kibaha) watu wanakwenda mbali kwenye mashamba ya katani ya Mo tena ni visima vya zamani sana so wazo lilikuwa nikizipata nichimbe karibu na ili niweze kukusanya hata 50tshs kwa ndoo maana kuna uhitaji wa maji
 
donbeny

JF-Expert Member
Aug 19, 2013
3,511
2,000
kama sijakupata vile ila ni vyema tukajua kilichopo chini namaananisha maji kwa matumizi ya binadamu na mazao then ndio tufanye kazi.... nina kieneo kiko kongowe(kibaha) watu wanakwenda mbali kwenye mashamba ya katani ya Mo tena ni visima vya zamani sana so wazo lilikuwa nikizipata nichimbe karibu na ili niweze kukusanya hata 50tshs kwa ndoo maana kuna uhitaji wa maji

Unaweza kujua maji yaliyopo yana chumvi au hayana baada ya survey au mpaka uchimbe kisima?
 
Ndachuwa

JF-Expert Member
Mar 8, 2006
6,244
2,000
Be
Habari wana jf.Natumai ni wazima wa afya,sisi ni vijana wajasiliamali tunaojihusisha na masuala yahusuyo uchimbaji wa visima vya maji.
Ili uwe na kisima chako cha maji ni lazima kuna baadhi ya hatuwa itakubidi uzifuate.Nazo hatua hizo ni kama nilivyo ziainisha hapo chini,
1. Itakubidi uchimbe kisima (kizuri ni cha kuchimba na mashine sio na mikono)
2. Kisima chako itabidi kiwekwe casing (pvc[screen and plane])
3. Pia itatakiwa kiwekwe Graves
4. Kisha itawekwa pump iliyounganishwa na waya ulioyoka kwenye control box na pia pampu iliyoonganishwa na poly pipe kwa ajili ya kupitisha maji
5. Pia pump lazima ifungwe na kamba,mara nyingi tunapenda kutumia kamba za Manila kwa sababu ni imara na pia ni ngumu kuoza.
6. Baada ya hapo maji yatapandishwa kisha yatachukuliwa sample yake ili yakapimwe kama ni salama kwa matumizi ya binaadamu,mifugo au mimea

Nb. Kabla ya kufunga pampu kisima kina takiwa kiflashiwe ili kiachwe kikiwa kipo safi kabisa.

Hizo zote ni baadhi ya huduma ambazo pia tunazitowa,japokuwa kuna baadhi ya huduma kama kupima maji bado hatujaanza kutoa hiyo huduma, ila kama mteja atataka tumsaidiye kufanya hiyo huduma tutamsaidia kupitia kwa watu wengine.

Bei/gharama zetu za huduma:

Kuchimba kisima tunachimba kwa shillingi elfu sitini (60000) kwa mita moja hii ni bei kwa walioko Dar es salaam
Kwa walioko nje ya dar es salaam tutakubaliana kutokana na mkoa mteja alipo.
Na kwa bei hiyo tajwa hapo juu ni pamoja na usafili na ufungaji wa pampu unakuwa juu yetu.

Mfano: uchimbaji wa kisima cha mita 90 gharama yake ni...
Mita 1 = 60000 tsh
Mita 90 = y
Cross multiplication
Mita 90 × 60000 tsh/mita 1y
Cut Mita both side
90 × 60000tsh/1
5400000tsh
Kwa hiyo gharama za kuchimba kisima cha mita 90 ni shillingi millioni tano na laki nne...gharama hizo ni pamoja na pampu.
Hapo mteja atatakiwa kununuwa maji yatakoyohitajika katika uchimbaji wa kisima na maji hayo yana uzwa tanki moja la lita elfu moja ni shillingi elfu kumi na tano.

Gharama/bei za ground water survey...
Kwa suala la upimaji wa uwepo wa maji tunachaji shillingi 250000 kwa mkazi wa dar es salaam, kwa mteja aliyepo nje ya dar es salaam tunaaanziya kuchaji shillingi laki tano lakini itategemea na mteja alipo.

Njia ya malipo:
Malipo ya ufanyaji wetu wa kazi huwa tunafanya tunapokuwa tupo site, tukishafika site kwa mara ya kwanza pamoja na vifaa vyetu vyote kwa ajili ya kuanza kazi hapo itabidi mteja atowe asilimia 65 ya gharama nzima.Ambayo hela hizo ndizo itakazo tumika kununulia vifaa vya kisima.

Mahali tulipo:
Offisi zetu zipo morogoro wilaya ya kilosa lakini baadhi ya vifaa vyetu vipo Dar es salaam kwa hiyo mteja akituhitaji kama yupo dar es salaam tunaweza kumfanyia kazi kwa gharama zetu za usafili na malipo yatafanyika tutakapo fika site tukiwa na vifaa vya uchimbaji.

Mawasiliano:
Piga simu namba 0628080096
Karibuni nyoote tuwahudumie
Bei ya kuchimba ya TZS 60,000 ni pamoja na casing? Huku Arusha gharama za chini ni TZS 130,000 kwa mita ikujumisha pvc casing. Umezungumzia pump mnafunga baada ya mteja kuinunua au iko kwenye package ya TZS 60,000 kwa mita?
 
tawa driller

JF-Expert Member
Dec 11, 2015
296
250
Be

Bei ya kuchimba ya TZS 60,000 ni pamoja na casing? Huku Arusha gharama za chini ni TZS 130,000 kwa mita ikujumisha pvc casing. Umezungumzia pump mnafunga baada ya mteja kuinunua au iko kwenye package ya TZS 60,000 kwa mita?
Casing inafanyika maranyingi ukichimba na Hammer mkuu yaani maeneo yenye miamba ili kuzuia udongo usishuke na kufukia kisima na bei tajwa hapo juu ya 60000 ni kwa soft rock areas ila maneo yenye mawe tuna chimba kwa shillingi laki moja kwa mita moja pamoja na pampu inakuwa ya kwetu na tutamfungia mteja wetu.kwenye bei hiyo ya elfu sitini kwa soft rock pia pampu inakuwa ya kwetu. Kwa walioko mikoani maeneo yenye soft rock tuna chimba kwa laki moja kwa mita maeneo yenye miamba tunachimba kwa laki na ishirini hapo tumejumlisha pamoja na pampu na kila kitu mkuu
 
tawa driller

JF-Expert Member
Dec 11, 2015
296
250
naomba msaada wa maelezo kidogo!
pamoja na gharama zote za kuchimba naona ni kama 5M hivi... kama maji yakapatikana ila yakawa si salama kwa binadamu na mazao inamaana inakuwa imekula kwangu.... vipi hakuna wataalamu wakucheki kwanza kabla hamjaanza kuchimba na kujua maji yaliyoko chini maana nimeshuhudia watu wamechimba visima wamepata maji ya chumvi sana(kwa Dar)....
hapo umesema mita ni elfu 60 hizo gharama nyingine za PVc na pampu zinakuwa juu ya mteja au ingekuwa poa ungechanganua maana ukicheki kwa jicho la tatu kuchimba kisima inafika M10 kwa quatation yako mkuu au?
Gharama za pvc na pampu zinakuwa juu yetu mkuu
 
tawa driller

JF-Expert Member
Dec 11, 2015
296
250
kama sijakupata vile ila ni vyema tukajua kilichopo chini namaananisha maji kwa matumizi ya binadamu na mazao then ndio tufanye kazi.... nina kieneo kiko kongowe(kibaha) watu wanakwenda mbali kwenye mashamba ya katani ya Mo tena ni visima vya zamani sana so wazo lilikuwa nikizipata nichimbe karibu na ili niweze kukusanya hata 50tshs kwa ndoo maana kuna uhitaji wa maji
Huwezi kujua quality ya maji na quantity yake mpaka uchimbe mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom