Kwa huduma ya kuchimbiwa kisima ña Ground water Survey karibu tuuhudumie

Llio 002

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
1,631
2,038
Habari wana jf,kw uhitaji wa huduma zifuatazo karibu kwetu;
1) kuchimbiwa kisima ( water well drilling )
2) kufanya Ground water survey
3) kutengeneza submeserble pump zilizo haribika
4) kufunga ( kuweka pampu ) katika kisima
5) kutowa pampu zilizo nasa kisimani
6) kusafisha kisima ( Fashing )

Bei zetu ni rahisi sana

1) kuchimba kisima > soft rock kwa dar tunachimba kwa shillingi elfu sabini kwa mita moja ( unawekewa bomba pvc's na pampu ) hivyo vyote ni vya high quarity.
> kwa maeneo yaliyoko mkoa wa Pwani bei ni elfu themanini kwa mita moja.
> Kwa maeneo yaliyopo mikoani bei ni maelewano.

2) Ground water survey kwa Dar tunafanya kwa shilingi laki tatu na nusu na ni quality work. Nje ya Dar bei ni maelewano.

Nb: huduma zingine bei ni maelewano hakuna bei elekezi.

Kwa mawasiliano piga 0625576082
 
Back
Top Bottom