Gregorian chants; Kiboko dhidi ya mashetani na sonona (depression)

Hizi ni sauti za kiasili za middle east. Hata hizi waislamu wanazitumia kukariri na kuimba Quran ndio hizo hizo kuanzia adhani pamoja na sauti mbalimbali wanazoimba aya za Quran melody zake ni mutatis mutandis na Gregorian chant. Lakini utasikia mtu anakitutumua na midevu imeninginia kwamba wao Huwa awaimbi na kuimba ni haramu lakini vyote wanavyovifanya kuanzia adhana hadi kuimba aya za Quran walizokariri NJ kupitia kuimba kama ilivyo Gregorian chant. ELIMU ya mwarabu oyeeeee!!!
 
Mimi ni mkristo lakini kuna Kama mara mbili katika maisha yangu nimeshuhudia waislam walipiga dua fulani mara 1000 wakifanya hii chant.
Walitumia kitu mfano wa rozari.
 
Ninyi mnatafuta kupagawa na mapepo, Roho chafu,

Kupata kipawa Cha Roho mtakatifu kunena kwa lugha mpya, sharti kwanza uokoke, Kisha uombe karama hiyo.

Sasa chants bila Roho mtakatifu mnatafuta shida!
 
Hizi ni sauti za kiasili za middle east. Hata hizi waislamu wanazitumia kukariri na kuimba Quran ndio hizo hizo kuanzia adhani pamoja na sauti mbalimbali wanazoimba aya za Quran melody zake ni mutatis mutandis na Gregorian chant. Lakini utasikia mtu anakitutumua na midevu imeninginia kwamba wao Huwa awaimbi na kuimba ni haramu lakini vyote wanavyovifanya kuanzia adhana hadi kuimba aya za Quran walizokariri NJ kupitia kuimba kama ilivyo Gregorian chant. ELIMU ya mwarabu oyeeeee!!!
Kuna waislamu huwa nawaambia hivyo namna wanasoma kuluwani Kwa kughani wamewaiga wakristu wakatoliki huwa wanabisha Hadi kesho
 
Ninyi mnatafuta kupagawa na mapepo, Roho chafu,

Kupata kipawa Cha Roho mtakatifu kunena kwa lugha mpya, sharti kwanza uokoke, Kisha uombe karama hiyo.

Sasa chants bila Roho mtakatifu mnatafuta shida!
Kuokoka ni dhana ya wapentekoste Wala sio dai la lazima Kwa kila mkristu Kwa kufikiria Kwa muktadha wa kidunia ila ni matokeo baada ya kazi nzuri hapa duniani, kumbuka maneno

"...atakayevumilia mpaka mwisho ndiye atakyeokoka..."

Kwahiyo Roho Mtakatifu yupo Kwa ajili ya yeyote mwenye utayari naye na sio Kwa ajili ya wapentekoste
 
Screenshot_20250724-003719.png
 
Nasikiliza hapa
Gregorian chant for repentance - surrender
 
Back
Top Bottom