The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Hata mngeweka nini hapo lkn ni kwamba huwezi kufananisha hv vituo viwili bhn [emoji3][emoji3]Kuna mtu anateseka balaa walai, mpka naskia raha..hawaamini kuona ya kwamba stendi watu wanatumia AI systems wao bado wamekomali mi shades ya brt tu[emoji23][emoji23]..
Kwao stendi ni shades tu km vile kuku
Kuona ni kuamini, hata km ni uzalendo ndio ufananishe shubiri na asali?[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]