Green card lottery

Green card lottery

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
14,084
Reaction score
8,406
Habari zenu ndugu na jamaa.
Nimekuwa mdau mmojawapo wa kuwa na ndoto za kuishi kufika Amerika na njia pekee niliona ni kujaribu kuomba green card lottery (www.dvlottery.state.gov) lakini pamoja na kujaribu zaidi ya mara 5 nikakosa(sijui nina gundu). Sasa mbaya zaidi nimepata fununu kuwa imefutwa na haipo tena? Je kuna ukweli maana kwenye website yao hakuna hilo tangazo
 
Hapana Bwana Jerrymsigwa,Green Card ya Lottery inayojulikana kwa jina la DV-1 haijafutwa bado ipo.Lakini hatima ya utaratibu huu wa watu 50,000 kuingia Marekani kwa ushindi wa Lottery hiyo utafutwa mara Muswada mkubwa wa mabadiliko ya sheria ya Uhamiaji itakapopitishwa na Bunge la Marekani.Katika Muswada huo miongoni mwa mambo yaliyopendekezwa ni kufutwa kwa DV-1 na kuongezwa viza kwa watu wenye vipaji maalumu.Pindi muswada huo utakapopita jumla ya watu 11.4milioni waliokuwa wanaishi kinyume cha sheria Nchini Marekani watapata Makazi ya kudumu (Permanent Residence) na baada ya miaka 13 kama mienendo yao ni mizuri watapewa uraia.Katika kundi hilo la watu milioni 11.4 wapo Watanzania wengi.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom