Green Card kumbe ni kweli aisee tucheze hii kitu

IMG_8203.jpg
 
Aisee tupia link na mimi nijaribu bahati mtoto wa mkulima from madongo kuinama mpaka kwa Joe biden
Mkuu hebu fanya msaada wa hiyo link tujaribu kuapply

Link ni https://dvprogram.state.gov/. Lakini kama nilivyomwambia mwana mmoja, picha ni jambo dogo sana lakini kwa DVL wana vigezo vyao. Unaweza kuwa na picha inayoonekana ipo bomba ile mbaya kumbe doesn't meet required dimensions. So, kama huna uhakika na passport size uliyonayo, ni bora ukapige kwenye professional photo studios. Kwa wakazi wa Dar, wanaweza kwenda pale Benjamin Mkapa Building au Haidary Plaza, na ukifika waambie kabisa unahitaji passport size FOR GREEN CARD. Hawa huwa wanafahamu masharti ya hizo photos. Make sure inakuwa na white background in case anajisahau!!
 
kwa sisi wakazi wa Kigoma tutaenda jengo gani mkuu? Tueleweshe maana sio wote tunaishi Dar
 
Sikuwa naamini Kuhusu Green card ila sasa nimeamini kweli kuna jamaa yangu mwalimu kapata yupo nyarugusu uko anaondoka Na familia yake Mungu kweli humpa anayemtaka
Ukienda marekan unapewa na kitengo au ndio unafika Airport kushangaa tu? Jazia nyama Basi point yako mkuu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Link ni https://dvprogram.state.gov/. Lakini kama nilivyomwambia mwana mmoja, picha ni jambo dogo sana lakini kwa DVL wana vigezo vyao. Unaweza kuwa na picha inayoonekana ipo bomba ile mbaya kumbe doesn't meet required dimensions. So, kama huna uhakika na passport size uliyonayo, ni bora ukapige kwenye professional photo studios. Kwa wakazi wa Dar, wanaweza kwenda pale Benjamin Mkapa Building au Haidary Plaza, na ukifika waambie kabisa unahitaji passport size FOR GREEN CARD. Hawa huwa wanafahamu masharti ya hizo photos. Make sure inakuwa na white background in case anajisahau!!
 
Ukienda marekan unapewa na kitengo au ndio unafika Airport kushangaa tu? Jazia nyama Basi point yako mkuu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hakuna tofauti na mtu anayeondoka mkoa kwa sababu anaamini fursa huko ni chache, na hivyo kuamua kwenda Dar kwa sababu anaamini huko fursa ni nyingi. Kama hukujiandaa, of course utafika airport na kuanza kushangaa shangaa lakini utakuwa unashangaa shangaa "nchini kwako", sawa na mtu aliyetoka Mkoa akaanza kushangaa shangaa "Ubungo Terminal"!! Lakini pamoja na kushangaa shangaa kwako, Green Card itakuwa fursa ya kutafuta fursa kwa sababu utahesabika ni "mmoja wao" mwenye haki sawa na wao!
 
Link ni https://dvprogram.state.gov/. Lakini kama nilivyomwambia mwana mmoja, picha ni jambo dogo sana lakini kwa DVL wana vigezo vyao. Unaweza kuwa na picha inayoonekana ipo bomba ile mbaya kumbe doesn't meet required dimensions. So, kama huna uhakika na passport size uliyonayo, ni bora ukapige kwenye professional photo studios. Kwa wakazi wa Dar, wanaweza kwenda pale Benjamin Mkapa Building au Haidary Plaza, na ukifika waambie kabisa unahitaji passport size FOR GREEN CARD. Hawa huwa wanafahamu masharti ya hizo photos. Make sure inakuwa na white background in case anajisahau!!
Kwenye background si lazima iwe nyeupe ila tu isiwe Bluu ya kukoza, au nyekundu, njano nk. Bluu ya bahari wanakubali
 
Link ni https://dvprogram.state.gov/. Lakini kama nilivyomwambia mwana mmoja, picha ni jambo dogo sana lakini kwa DVL wana vigezo vyao. Unaweza kuwa na picha inayoonekana ipo bomba ile mbaya kumbe doesn't meet required dimensions. So, kama huna uhakika na passport size uliyonayo, ni bora ukapige kwenye professional photo studios. Kwa wakazi wa Dar, wanaweza kwenda pale Benjamin Mkapa Building au Haidary Plaza, na ukifika waambie kabisa unahitaji passport size FOR GREEN CARD. Hawa huwa wanafahamu masharti ya hizo photos. Make sure inakuwa na white background in case anajisahau!!
Gharama za kupiga picha zipoje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom