Green Card kumbe ni kweli aisee tucheze hii kitu

Link ni https://dvprogram.state.gov/. Lakini kama nilivyomwambia mwana mmoja, picha ni jambo dogo sana lakini kwa DVL wana vigezo vyao. Unaweza kuwa na picha inayoonekana ipo bomba ile mbaya kumbe doesn't meet required dimensions. So, kama huna uhakika na passport size uliyonayo, ni bora ukapige kwenye professional photo studios. Kwa wakazi wa Dar, wanaweza kwenda pale Benjamin Mkapa Building au Haidary Plaza, na ukifika waambie kabisa unahitaji passport size FOR GREEN CARD. Hawa huwa wanafahamu masharti ya hizo photos. Make sure inakuwa na white background in case anajisahau!!
Mkuu hizi East Africa temporary passport zinaruhusiwa kwa sisi tusiokuwa na passport kubwa ?
 
Mkuu hizi East Africa temporary passport zinaruhusiwa kwa sisi tusiokuwa na passport kubwa ?
Kwa kweli sina uhakika. Hata hivyo kumbuka kwamba, pale hutaambiwa ku-upload possport bali utaambiwa ku-upload number ya passport. Sasa sina uhakika kama system inaweza kutofautisha hizo namba!
 
Unajilipia mwenyewe...

Kawaida green card wanashinda watu wenye kada zao za kazi, elimu, kipaji, n.k na sio hohehae tu, sababu ukifanikiwa kupita hatua zote unatarajiwa kuomba kazi huko kwao na kupata haki zote za kuishi kama raia...
Kwa iyo Mimi mziba pancha za baiskeli siwezi kupata?
 
Kama huna taaluma itazame tu kwa macho
Na kuna taaluma ambazo unakubaliwa kirahisi kuishi USA
 
Screenshot_2021-11-07-13-52-57-25.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom