Great thinkers mawazo yenu yanahitajika hapa.

Great thinkers mawazo yenu yanahitajika hapa.

Unapomwambia mtu calm down,easy,chukulia poa n.k unamtoa mtu kwenye hatari ya kuudhuru mwili wake,binadamu anapokuwa kwenye state ya uchungu kwa muda mrefu organs za mwili wake zinadhurika,mf.Moyo,Figo,Maini n.k.kwani unapokuwa kwenye hizo hali vitu hivyo hufanya kazi ya ziada,na hiyo kazi ya ziada inapodumu muda mrefu vinaanza kuumia,ni taratibu lakini hatimaye utaishia kuumwa na hatimaye kufa.Kwa sisi wakristo kwenye Biblia Mithali 4:23 inasema,Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo,maana ndiko zitokako chemichemi za uzima.Kwahiyo pamoja na kwamba tunakutana na mambo yanayoumiza hatutakiwi kuyaacha yaendelee kutuumiza kwakuwa mwili umeumbwa ili upambane navyo,kinachotakiwa hizo hali zikishatokea tufarijiane na sisi wenyewe tujitahidi tuwezavyo kujisahaulisha ili maisha yaendelee...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hujaenda moja kwa moja kwenye maswali ya original post mkuu?
 
Kila gari ina shock absorbers au shock ups mzigo ukiwa mzito kuzidi shock ups ni hatari huvunjilka Na kuleta madhara makubwa kwa gari.Binadamu pia ana shock ups shock ikiwa kubwa kuliko shock ups aweza kufa kwa pressure au kapata maradhi ya kupasuka mishipa ya fahamu akapooza .Hivyo watu wakiona kama kazidiwa ndio humsihi a cool down asije pata matatizo yeye binafsi akaleta shida kwa watu wengine kama waliokuwa wakimtegemea au akaleta shida kwa wengine watakaohangaika kumuuguza badala ya kuendelea Na shughuli zao zingine za kiuchumi.Mwenye uwezo mkubwa wa shock absorbers huwezi ona watu wanamsihi kuwa calm down.
Hata kuzimia ni sehemu ya shock absorber na ni natural. Ila naomba urudi kwenye maswali ya msingi ya original post.
 
Mbona hujaenda moja kwa moja kwenye maswali ya original post mkuu?
Nadhani kwa kiasi kidogo nitakuwa nimetoa msaada kwenye maswali haya -*sasa iweje mtu akihamaki(panic) tunajaribu kumtuliza?
* Je, kwa kufanya hivyo hatukosei?,wengine watanisaidia kujazia..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kuzimia ni sehemu ya shock absorber na ni natural. Ila naomba urudi kwenye maswali ya msingi ya original post.
Shock absorbers zinatofautiana wengine ndio maana hujiua shock ups zikishindwa kuhimili misongo ya mawazo au maisha au kiuchumi nk Nature haitakiwi iachwe tu ichukue mkondo wake ni ukatili kupindukia si Kila aliyeajiriwa huishia kulia wako wawezao kujidhuru au kushauri wengine.Inatakiwa idhibitiwe kwa mtu ambaye shock load ni kubwa kuliko uwezo wa shock ups zake ndio maana wako physiology counsellor,washauri nasaha,nk Ku handle kwa wale wenye
 
Kitu kinapolikaribia jicho lako na jicho kujifumba lenyewe kwa haraka, hiyo ni automatic response ya jicho na hatuwezi kusema kuna makosa ya kimfumo. Vivyo hivo unapo-panic ni automatic response ya mwili sasa iweje tushauriane ku-calm down? Kwanini tusiache mtu katika hali ya kuhamaki na atakachokifanya mpaka mwili utulie wenyewe?
Unafikiri ni sahihi kuruhusu Kila mfumo wa mwili kujiendesha :-&?
Fikiria umepewa taarifa ya msiba ukahamaki ukajitupa kutoka ghorofani

Je utakuwa umepata faida gani!?
Kuna body response zisizozuilika kwa mfano chafya, kufumba jicho n.k

Hizo zina faida zake,hivyo hakuna haja ya kupingana nazo.
 
Nadhani kwa kiasi kidogo nitakuwa nimetoa msaada kwenye maswali haya -*sasa iweje mtu akihamaki(panic) tunajaribu kumtuliza?
* Je, kwa kufanya hivyo hatukosei?,wengine watanisaidia kujazia..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha chukulia mkurya kahamaki aweza kata mapanga Kijiji kizima ukiacha nature ichukue mkojndo wake.Mfano ngombe wa kakaake wameibiwa Na kijiji hitaji zake Na wezi wameua kaka yake mwenye hizo ngombe wakati wakiiba usiku.Yule haishii kulia tu lazima atoke Na mapanga ,mashoka nk kwenda kuua watu halafu mwisho anajijua asipodhibitiwa Ku cool down akaachwa nature ichukue mkondo wake.Akiua ndio aweza jisikia poa
 
Hata kuzimia ni sehemu ya shock absorber na ni natural. Ila naomba urudi kwenye maswali ya msingi ya original post.
OK sio shida nafinalize sichangii tena chukulia una mtoto wa kiume kabaka mtoto wa kimasai hadi akafa halafu wanakuja nyumbani kwako Na sime Na mikuki Na hasara za kimasai anyway kwa argument yako ruksa tuachie nature ifanye kazi Poa tu tukubaliane kutokubaliana niishie hapa sichangii mada yako tena
 
Mgonjwa atasikia baridi kwa kuwa mazingira yanayomzunguka ni ya baridi kuliko mwili wake.
Yah ! This makes sense. Aisee kumbe tofauti tatu nne ni kubwa namna hii...!! nakumbuka nilipoambiwa joto langu ni 38.9
Asante kwa elimu.
 
Kujifunza kwenda kinyume na nature pia ni nature


Ni asili yetu kufanya mambo kinyume
Ni asili yetu pia kukiuka asili yetu

Naona kama ulichoandika kiko too general.
Unaweza kufafanua kidogo, ukaweka na mifano?
Please.
 
Back
Top Bottom