Great Thinker, Sugua Kichwa kama Unaweza

kichwa saizi akifanyi kazi tuonane kesho asubuhi kabla sijaenda kubeba zege
 
nitauliza "mlango wa kwenda kwa Babu Loliondo ni upi?"
 
Atakaye jibu kweli kuhusu ili swali la uzushi ndo mkeli kwa hiyo utamuuliza tena swali la mlango upi ndo wa kwenda uraiani
 
namuuliza yule muongo tu kua eti ni mlango upi ni wa kwenda kunyongwa lazma atanidanganya kua ni ule wa kutokea basi nakua nishapata jibu
Sasa utamjuaje muöngo ni yupi kati ya wale wawili?kumbuka kwamba hawana Id za kuwajua yupi ni muongo na yupi ni mkweli,wewe unatakiwa umuulize m1 kati yao
 

Miye leo nimekuja na jibu hili hili sema tuu umeniwahi mkuu.
 
Sasa utamjuaje muöngo ni yupi kati ya wale wawili?kumbuka kwamba hawana Id za kuwajua yupi ni muongo na yupi ni mkweli,wewe unatakiwa umuulize m1 kati yao
daaah hebu nkalale kwanza nkiamka ntapata jibu
 
Men u made me think this thing 4 hours and here's the answer. Niligundua kuna swali ambalo ukiwauliza wote watatoa jibu moja. What's the question? Here it is, utamuuliza yeyote swali hili "NIKIMUULIZA HUYO MWENZAKO MLANGO WA URAIANI ATANIJIBU NINI?" there,kama ntakua nimemuuliza yule wa ukweli atajibu "atakuonesha mlango huo apo wa kifo' kama ntakua nimemuuliza muongo,atanidanganya kwa kunionesha wa uongo sababu wa ukweli angenionesha mlango wa ukweli.So yeyote ntakayemuuliza hilo swali atanionesha mlango wa uongo na ntaenda mlango mwingine. Men i had to draw logic values to figure it out. Thanx 4 activating ma brain cell which were zzzzzzzz.
 
Miye leo nimekuja na jibu hili hili sema tuu umeniwahi mkuu.
Jana ulisema jioni huwezi kufikiri sana labda ingekuwa asubuhi, leo umekuja na jibu, ulilipata wapi mkuu?
 
Uko sahihi mkuu.
hah hah brain cell?
 
Jana ulisema jioni huwezi kufikiri sana labda ingekuwa asubuhi, leo umekuja na jibu, ulilipata wapi mkuu?

Kusema kweli mkuu hii chemsha bongo ilinitoa kapa.
Na mimi nimewachemsha watu hapo ofisini, wananiona kiichwaa.
Alafu mkuu Mabel hio signature yako nimeikubali ila irekebisha hapo kwenye 'PIECE' nadhani inatakiwa iwe 'PEACE' yaani AMANI.
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Yap !
 

Rahisi!! NTamkaribia yeyote ni mnong'onezenataka kufa nipite mlango gani? lazma nipate jibu
 
Dah! Kuna jamaa zangu nimewapa hii bado tunaendelea na ubishi! Kweli hii SUGUA KICHWA!
 
nitamuliza, je hapa wafungwa wanalindwa na askari kma wewe.Akisema hapana,najua ni mwongo mie bomba natoka.
 
sitauliza swali nikifika mlangoni nitajifanya naujua mlango wa kutokea nje nitamweleza NATAKA KWENDA NJE mlinzi muongo atashinda kunidanganya akijua labda naujua mlango kwani nimeenda kwa kujiamini sikumuliza swali ni mlango upi wa nje na upi wa kunyongwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…