Nitasimama katkat ya hao walizi wawili then nitauliza: huu mlango wa kwenda kunyongewa? Watajibu wote kwa 7bu kilammoja atadhani nimemuuliza yeye. Nadhani nitapata jibu la ndio na hapana. Yule askari mongo si atakua a vise vesa? nitakua nimepata jibu
Magumu au rahisi? au ni:A S-confused1::lol: mambo mengine bwana!
Mkuu wa mahesabu unatisha na milinganyo yako,aah hili swali linaitaji kalam na karatasi yaani (x+y)x=xy/x-y findi x , given y=8
aagrr
tukupe mji..
Mkuu wa mahesabu unatisha na milinganyo yako,
Kama silaha yako pekee ni nyundo, basi kila kitu/tatizo utaona linafanana na msumari!
Haha hah, umechemka kaka.
Mkuu sijakuelewa,Ntamuuliza swali la kizushi askari kama "nackia mnanyonga kwa kutumia sumu?" najua askari mwongo atakataa wakat askari mkwel anaweza jibu "sio mimi ninayenyonga" afu bada apo ntajua tuu.
Mkuu umenifurahisha,Ntamuuliza swali la kizushi askari kama "nackia mnanyonga kwa kutumia sumu?" najua askari mwongo atakataa wakat askari mkwel anaweza jibu "sio mimi ninayenyonga" afu bada apo ntajua tuu.
Hili swali litakusaidia vipi kujua mlango wa kutokea?Utauliza swali ambalo wote mnajua jibu lake mfano, Je hapa ni gerezani?
kama yule uliyemuuliza atasema ndiyo basi unajua ndiye msema kweli.
Kama atasema hapana basi huyo ndiyo msema uongo.
Kwasababu umesema kila mlinzi analinda mlango mmoja na unaruhusiwa kuuliza swali moja, utamchagua yeyote umuulize swali hilo kujua msemakweli ni yupi ili uchangue mlango wa kutokea.Hili swali litakusaidia vipi kujua mlango wa kutokea?
Mkuu unaruhusiwa kumuuliza mlinzi huyu na ukatokea mlango wa mlinzi mwingine. Unaruhusiwa kutokea mlango wowote unaotaka wewe baada ya kuulinza swali moja tu kwa mlinzi yeyote.Kwasababu umesema kila mlinzi analinda mlango mmoja na unaruhusiwa kuuliza swali moja, utamchagua yeyote umuulize swali hilo kujua msemakweli ni yupi ili uchangue mlango wa kutokea.
Ila kama mlinzi utakaye muuliza lazima uchague mlango wake basi hilo halitakuwa swali zuri
Mkuu unaruhusiwa kumuuliza mlinzi huyu na ukatokea mlango wa mlinzi mwingine. Unaruhusiwa kutokea mlango wowote unaotaka wewe baada ya kuulinza swali moja tu kwa mlinzi yeyote.
Mkuu umesema hiviSasa jibu langu lina kosa gani? kwasababu walinzi na mfungwa wanajua kuwa pale ni gerezani sasa atakayesema hapana basi huyo atakuwa mwongo na mfungwa atajua mlango wa uraiani ni upi as long as walinzi watakuwa kwenye milango yao.
Chamoto said:Utauliza swali ambalo wote mnajua jibu lake mfano, Je hapa ni gerezani?
kama yule uliyemuuliza atasema ndiyo basi unajua ndiye msema kweli.
Kama atasema hapana basi huyo ndiyo msema uongo.