Extraterrestrial
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 413
- 265
MKUU LITTLE HULK thanks for the beautiful article.👌👌👌👌😎😞😔😖
mkuu nimekuelewa... well unachosema ni sawa kwa wao wanavosema wao ... nimejaribu kutoa vitu watu wengine wanahisi zinafanyika nyuma ya pazia ndo maana imekuwa conspiracy story .... jaribu kutafuta zaid utaelewa usi gande hapo hapo..... so asante kwa ushauri ila shule ninayo ya kutosha...
Asante mkuu maana watu wengi humu wanalisha wenzao matango poriHapana, nimesikitika unavyosema IYL ni agenda kua CERN, wakati kita photonics scientists anajua CERN primary focus ni atomic and molecular physics, which is entirely a different branch of physics.
FYI manipulation of moving pockets of light ( photonics) na manipulation of atoms, unawezaje kuita ni kitu kimoja?umesoma waveguide theory?unaelewa chochote kuhusu Schrodinger equations na kwanini sio waveguide theory inayotumia kuprove Heisenberg phenomenon?
Kuwa na elimu sio sababu ya kutokuandika vitu vya hovyo. Kuwa na degree5 za history hakukufanyi kuwa qualified kuandika kuhusu physics concepts za secondary, utaalamu wa sehemu moja ya sayansi haukufanyi kuwa mmbobezi wa sehemu nyengine.
Mengi uliyoandika kuhusu Physics/Photonics/ Quantum theory, ni uongo mtupu. Ndio maana nimesema hivyo.
Hawa viumbe ni majini ila wanatumia mtazamo wa kisayansi na majina lukuki tusiwatambue kwenye huu ujio wao mpya.Hao aliens ni majini tu,wako duniani tangu enzi.
Huna cha kujibu,mpika wa chai wa scientists wa CERN,braggadocio prick
Unajua mimi pia nilikua suspicious na huyu jamaa. Kuna post ali emply kuwa yy ni mmoja wa scientists wa CERN hehehe unajua na hisi anafikiri hicho kingereza chake ndio watu wataamini ni top scientist CERN. Wale watu utawakuta chat sights kweli? Hehehe anyways life is short ni vizuri kujifurahisha most times.
just wait and see.... when fictional stories turn to be real stories.........hahahah dude you are having a bit too much of fictional stories!
Dude get some other books about real issues and read. Too much of these fictions can be very detrimental at times!just wait and see.... when fictional stories turn to be real stories.........
this cern was responsible for nepal earthquake due cern power up beams.bt wakuu naomba ata kama unajua sana ama hajui hakuna maana ya kukashifiana jukwani.
Na atuambie ni Kwa nini logo yaCERN ni 666...na sio Kujadili na terminologies tupu hapa. Maswali yetu ni Marais tu! NAOMBA KUWAKILISHA!
scientists wa CERN kwenye makaratasi ya bongoland! anajua kila kitu, anabisha hata wenye sayansi waliyoyakubali!(samahani)
p