Great Brink’s Robbery: Wizi wa Karne

Great Brink’s Robbery: Wizi wa Karne

Anahofu isijekuwa umetupiga acrobatic
Kibongo bongo hawa wangekuwa ndio hawa vibaka wetu hawa manake majambazi tulionao ni uchwara jambazi asilimia kubwa hapendi uwa labda ulemletee utata kwa hili tukio wasingeweza kufikisha hata mwezi kuvumilia wasitumbue hela eti kisa watajulikana hahaaa na mademu wakali wamwachiie naani mshana junior ama
 
Mkuu nimegundua kazi ya wizi inahitaji discipline kubwa sana na umakini wa hali ya juu... Kama si dish la O'Keefe kuyumba jamaa wasingepatikana kamwe
 
Back
Top Bottom