Great Brink’s Robbery: Wizi wa Karne

Great Brink’s Robbery: Wizi wa Karne

USITAG MTU YEYOTE, MAANA NI KAMA UNAWATENGA WENGINE,

KAMA LAZIMA HAO UNAOWATAGI WAONE WATUMIE INBOX.

MBONA SIE WENGINE TUNA-SUBSCRIBE UZI ILI KUFUATILIA TUKIO??
Huu utaratibu ni kwa wale waliomba mkuu, si wote wapo instant kiasi hicho na kama ukifuatilia kila mara niwekapo uzi naongeza majina kwa walioomba au niliowasahau. Kusubscribe ni njia nzuri ila huwezi mshikilia mtu afanye hivyo... Pamoja sana
 
Hawa jamaa wana akili sana,FBI nao kumbe sio chochote kwao,maana walishindwa hata kupata ABC

Nimejifunza kwamba nidhamu na self control ni muhimu sana Katika maisha.

Mipango ya kuiba miaka 2+miaka 6 ya kusubiri=miaka 8,ni watu wachache sana wenye kujizuia kutumia pesa unaziona na una matatizo kibao,hata O'Keefe nadhani isingekuwa kubanwa madeni wangetoboa.

Hongera mleta mada uko vizuri sana kiuandishi.
 
Kwa maana hiyo hii tayari ilishakuwa perfect crime kabla ya njaa kumpanda O'Keefe kichwani na kuchomolea wenzake battery na kusaidia FBI na mahakama kuwatia nguvuni wezi wote na cha kushangaza katika kesi hii fedha zilizopatikana ni $58k tu kati ya $2.7m zilizoibwa!.

Hebu taratibu hapo, rewind kidogo.... kutoka $2.7m hadi kibaki $58k ilikuwaje au kulikuwa na panya mkubwa...?
 
Hawa jamaa wana akili sana,FBI nao kumbe sio chochote kwao,maana walishindwa hata kupata ABC

Nimejifunza kwamba nidhamu na self control ni muhimu sana Katika maisha.

Mipango ya kuiba miaka 2+miaka 6 ya kusubiri=miaka 8,ni watu wachache sana wenye kujizuia kutumia pesa unaziona na una matatizo kibao,hata O'Keefe nadhani isingekuwa kubanwa madeni wangetoboa.

Hongera mleta mada uko vizuri sana kiuandishi.
Ni kweli mkuu kwa kila unachofanya maishani nidhamu ni siri ya kufanikiwa pia uvumilivu kwenye ups and down zozote zile... Sure wangetoboa sema panya alikula wire..
 
Haijajulikana nani alizitafuna mkuu au ziliyeya wapi

Napata hisia kuna mmoja au wawili aliwazunguka kachora mchoro upya kawaibia wezi, kuficha fedha miaka sita ni uzwazwa tu ndo mana siku zimekaribia wameanza sarakasi.... na hapo zilibaki siku tu mgao uive wangeuana so ni bora walivyodakwa.
 
Ilikuwa balaa Pino na Big Joe kuna namna walifanya mkuu si bure
 
Yani ilikua inaenda kuwa perfect crime kweli kweli ila shida siri ikishazidi wawili hakuna siri tena. Inasisimua ni nzuri kwa kweli
Hahahhahaha ni kwel madam...
Asante kwa kupita
 
Back
Top Bottom