Duh, mzee uko vizuri sana kuanzia kwenye mtiririko wa story hadi mpangilio wa maneno.. hongera sana.. pia nna ombi, inaonekana unafuatilia matukio ya namna hii iwe kwenye vitabu au documentary.. Unaweza kuwa na list kadhaa ya movies za matukio kama haya ili niweze enjoy, nitashukuru sana kama unaweza nisaidia list za movies kadhaa