Great Brink’s Robbery: Wizi wa Karne

Great Brink’s Robbery: Wizi wa Karne

Mkuu nimegundua kazi ya wizi inahitaji discipline kubwa sana na umakini wa hali ya juu... Kama si dish la O'Keefe kuyumba jamaa wasingepatikana kamwe
O'keefe asingechomoa betri wangelamba dume na nimejiuliza pia ilikuwaje pesa ikapungua si kiasi kilichoibwa????
 
O'keefe asingechomoa betri wangelamba dume na nimejiuliza pia ilikuwaje pesa ikapungua si kiasi kilichoibwa????
Sure.... Kuna uwezekano walizipiga Pino na Big Joe wakiwa uraini.... Kwani bado walikuwa na harakat mfano za kuajiri hitman yule na wao kuendelea na maisha yao japo sidhani ni kwa kiasi kikubwa hivyo
 
Back
Top Bottom