mboghomawe
Member
- Jul 5, 2015
- 7
- 4
Natafuta kazi inayohusu graphics designer and video production nimesomea kazi hiyo na nna ujuzi 2 years mwenye kampuni binafsi na anauwezo wa kunisaidia anisogeze tuweze fanya kazi.
vp vifaa unavyo vya production
yy anatafuta ajira, sio partner wa biashara. au ukienda hotelini huwa unaulizwa km umekuja na sahani yako?