Graphic Design Mega Offer!

mafioso

Member
Jan 17, 2008
34
28
Ndugu wajasiriamali, habari zenu?

Nakuja mbele yenu leo kutangaza offer maalum kwa wajasiriamali mmoja mmoja. Mimi ni Graphic Designer ambaye nina uzoefu wa kutosha kwa kazi za designing katika ubora wa hali ya juu sana.

Napenda kuwatangazia offer maalum ya nusu bei kwa kipindi cha mwezi mmoja kutoka leo (tarehe 16 May, 2016) mpaka mwisho wa mwezi June kwa wote ambao wangependa kufanyiwa designing ya Logo, Business Card, na Letterhead kwa pamoja, yaani Corporate ID Package ambavyo vitakuwa vya muonekano sawa, rangi sawa, maalum kwa jili ya utambulisho wa biashara yako kwenye dunia ya leo ya ushindani.

Kumbuka, nazungumzia best quality designing, ambazo zinamshirikisha mteja toka mwanzo wa project hadi mwisho ili kuhakikisha mteja ameridhika kabisa. Gharama ya kudesign vitu hivi vitatu itakuwa ni 150,000/= (Shilingi za kitanzania Laki Moja na Hamsini tu).

Baadhi ya kazi zangu ambazo nimefanya ziko hapa (Purple Dots).

Pia nafanya designing mbali mbali ya vitu kama product labels, packages, CD/DVD Covers, Magazines, Company Profiles, Annual Reports, Identity Cards, Calendars, Flyers, Banners, Posters, Leaflets, Billboards etc. Vyote hivi ni kwa bei nafuu sana.

Kama uko interested tafadhali tuwasiliane ili tuzungumze, bei ni nafuu sana, na hatuwezi kushindwana kabisa, mimi naamini kwenye ubora wa kazi zaidi, maana kazi moja huzaa zingine nyingi, hivyo suala la bei lisiwaogopeshe kabisa. Njoo tuzungumze na tufanye kazi kwa ubora ule ule kwa hilohilo salio lako unaloliona dogo.

Simu/SMS/Whatsapp:
0717330817 / 0767330817
Email: info@technoboxcreative.co.tz
 
63423_984402228253077_3528160659747872643_n.png
988409_984394331587200_5785220181232149644_n.png
1240397_984394228253877_4882062867574836950_n.png
10408851_984387628254537_5730437103516091369_n.png
10377994_984387554921211_3612113194529634501_n.png
10425439_984402238253076_8881974937033516451_n.png
10612713_984402404919726_6150030043930377113_n.png
10612880_984385461588087_8590548096884742144_n.png
1466259_984387558254544_4607194883367792680_n.png
10689927_984394258253874_5644954723343788706_n.png
10801734_984402168253083_7092237182981742537_n.png
63423_984402228253077_3528160659747872643_n.png
988409_984394331587200_5785220181232149644_n.png
1240397_984394228253877_4882062867574836950_n.png
10408851_984387628254537_5730437103516091369_n.png
10377994_984387554921211_3612113194529634501_n.png
10425439_984402238253076_8881974937033516451_n.png
10801734_984402168253083_7092237182981742537_n.png
10689927_984394258253874_5644954723343788706_n.png
1466259_984387558254544_4607194883367792680_n.png
10612880_984385461588087_8590548096884742144_n.png

Hizi ni baadhi tu ya kazi zangu nilizofanya, ziko nyingi sana. Nyingine kama nilivyosema zinapatikana kwenye ukurasa wangu wa Facebook kwa jina la Purple Dots (Purple Dots).
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom