Kisali.TechnitianJr.
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 592
- 183
Ukosefu wa mbinu mpya za mapenz ndani ya ndoa na pia watu wengi baada ya kipindi kirefu cha ndoa huanza kuizoea ndoa na hapo ndipo tatizo linapoanzia:thumbup:
Mijanajike mengine ikiolewa tu baaas!
No kujiremba!
No kujipamba!
No uchokozi!
...
Never say
'i love you!'
'i miss you'
etc! Na kinyume chake ni kweli!
...
But ke ndio wa kulaumiwa zaidi!
nitakufundisha baadae
wanaume ni kundi lisilo eleweka kabisa chenga nyingi..............Jamen!
Sio wote!
...
Kama huamini tutest then uje kuwahakikishia!
Lakini hajajenelolaizi, hivi unajua kwamba kuna wanawake majambazi? nadhani alikuwa anarifaa wananawake wa aina hiyo
yaani SIJAPENDA hapo nilipobold! kweli unaturefer sisi kama 'mijanajike'?????? pole sana maana unaonekana wewe sio wale tunaowaitaga ma-gentlemen! kwakuwa mwanaume wa kweli huwa HANA KAULI KALI NA ZA DHARAU kama hivi..huna mama wewe?maana waweza kuwa hujui thamani ya mwanamke ktk maisha yako..so hata mama mzazi huna ukamheshimu?...nilichojifunza kwako ni kuwa HESHIMA HUNA, na usipojirekebisha na kuchunga kauli zako utapata ndoa ya majanga sana..kama ndio hivyo!!!! pole sana!..umenisikitisha mno!
wanaume ni kundi lisilo eleweka kabisa chenga nyingi..............
Mamito usiniangushe, mtu akiwa na kiu done la kwanza ndilo muhimu mengine yalobaki ni kutimiza mradi. Kwa maan nyingine mwanaume akihitaji k na akapata hiyo ya kwanza ndo muhimu zinazofuatia ni kawaida tu. Ndo maana ukibana unakuwa ni mzuri hata ukifika 80. Ukirogwa ukaachia uzuri wote sifuri (joke)ndo nini tena hiyo?
Dah! Ndio umeamua ugeuze kibao kiivyo?
...
Aaaka! Usinikumbushie machungu mwenzio!
...
Ktk ndoa (refers topic/thread) mara nyingi ke ndio husahau majukumu yao! (leave it)
...
Wapenzi wa kawaida (wasiooana) ndio inategemea mtu na mtu! Si me wala sio ke, wote majanga!
Nadhani umenisouma hapa!
Jamani nyii!
Umeelewa vibaya dada yangu!
...
1
nimespecify: refers 'wengine'
...
2
nimesema 'na kinyume chake ni kweli' nikimaanisha: kuna na 'MIJANADUME' haitaki kutekeleza wajibu wao!
...
MIJANA either DUME or JIKE = WAKOROFI!
...
Nitake radhi mwenzio! Umeniombea mabaya!
Afu nahisi wewe ndie umenidhalilisha! Aren't you?
Oooh! Haya bhana!