Kurunzi
Platinum Member
- Jul 31, 2009
- 10,197
- 11,629
Gari tajwa juu inauzwa kwa bei ya 3.8tu gari ni ya mwaka 1996 usajili wa no zake ni A injini iko safi inatembea ila imeisha vibali toka januari sababu ya kutolipia nilikuwa ngambo kimasomo pia inatakiwa kufanyia marekebisho master cylinder ya break kwani hazishiki vizuri wanaojua magari atanielewa.
Sababu ya kuiuza nimeagiza nyingine iko bandarini nipo tayari kuuza kwa installment hata 3 kwa makubaliano ya kisheria.
Gari ipo Bagamoyo kwa mnunuzi ambaye yupo serious tu nicheki kwa pm
Sababu ya kuiuza nimeagiza nyingine iko bandarini nipo tayari kuuza kwa installment hata 3 kwa makubaliano ya kisheria.
Gari ipo Bagamoyo kwa mnunuzi ambaye yupo serious tu nicheki kwa pm