Magnetic reader kaka huwezi ku-scratch , yaani wakati ule kazi a DJ ilikuwa ni kuziandaa hizo sahani kwa kuzifuta futa vumbi tu ili kale ka sindano kasikwame, mbwembwe kulikuwa hakunaga.Kwahiyo mkuu ukitaka kusugua kama wafanyavyo ma DJ YA wezekana?
Duh haya kaka, vipi zinapatikana maana mimi sijawahi kabisa hata tu kuona, nilikuwa nahadisiwa tu na babu. Inawezekana ukaipata na ukanunua angalau kwa ajiri ya kumbukumbu.Magnetic reader kaka huwezi ku-scratch , yaani wakati ule kazi a DJ ilikuwa ni kuziandaa hizo sahani kwa kuzifuta futa vumbi tu ili kale ka sindano kasikwame, mbwembwe kulikuwa hakunaga.
zinapatikana used kaka, ila bei yake ipo juu - hata hapa Tanzania kuna baadhi ya vijana wa wakati huo ambao kwa sasa ni wazee wanazo.Duh haya kaka, vipi zinapatikana maana mimi sijawahi kabisa hata tu kuona, nilikuwa nahadisiwa tu na babu. Inawezekana ukaipata na ukanunua angalau kwa ajiri ya kumbukumbu.
Asante ngoja nifanye mishe!zinapatikana used kaka, ila bei yake ipo juu - hata hapa Tanzania kuna baadhi ya vijana wa wakati huo ambao kwa sasa ni wazee wanazo.
VIP chenja ndo zilikuwa player za aina ganizinapatikana used kaka, ila bei yake ipo juu - hata hapa Tanzania kuna baadhi ya vijana wa wakati huo ambao kwa sasa ni wazee wanazo.
Santuri mkuu; siku Franco alivopiga hapo uwanja wa taifa alikuwa anarecord live watu wanazinunua; uwanja nyomi ya hatari aisee kuzaliwa zamani raha ila tatizo unawahi kuzeeka ha ha haKumbe ndio santuri