Generalkaduma
Member
- Apr 29, 2011
- 20
- 5
Tangazo Tangazo: Chadema Students Oganisation (CHASO) mkoa wa Dar. wanakualika kwenye sherehe za MAHAFARI ya kuwaaga wana Chaso mwaka wa mwisho vyuo vikuu vya Dar. Ni kesho J/pili tar 15/06/2014 katika ukumbi wa Msimbazi center kuanzia sa 3:0 asbuhi. Mgeni rasmi atakuwa ni Mabere Malando akiongozana na John Mnyika (MB) pamoja na Godbless Lema (MB) Nyote mnakaribishwa. Imetolewa na Maganga Japhet E. Afisa habari chaso mkoa Dar(0768668483)