Chadema students organization (CHASO) chuo kikuu cha SAUT-Tabora kufanya sherehe Jumapili.

kapya

Senior Member
Oct 5, 2012
153
54
taarifa wana jf
makamanda wa chaso pekee mkoa wa tabora mwaka wa tatu CHUO KIKUU SAUT-TABORA wanatarajia kufanya sherehe ya kuagwa na makamanda ya mwaka wa kwanza na pili wiki hii siku ya jumapili hapa mkoani tabora.SHEREHE HIYO ITAHUDHURIWA NA VIONGOZI WILAYA,MKOA NA KITAIFA

nyote mnakaribishwa.

'taifa litasonga kimaendeleo endapo ccm itaachia Tanganyika,Zanzibar and Tanzania'

"Mungu Itukuze Chadema"
 
All de best mbona kitaeleweka tu....
 
uwezo wako wa fikra ni mdogo mithili ya bongo ya kundi la nyati linawoshindwa kumdhibiti simba mmoja katikati uvamizi wa ngome yao
Labda mkauze CD ULAYA! Ivi bubu amerudi ughaibuni alikoenda kuuza DVD?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom