"Graduates" karibuni sana mtaani

Saveya

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
1,051
2,000
Mtaani pagumu sana aisee! Yani nikijilinganisha na wenzangu walioishia form four wao wamepiga hatua kubwa sana!
Kingine na kikubwa ni kwamba CONNECTION ZIMEZIDI KWENYE AJIRA, mkombozi aliyebakia Kwa tusio na connection ni SEKRETARIETI YA AJIRA 'UTUMISHI '
 

wiseman734

Senior Member
Apr 29, 2018
136
250
Mtaani pagumu sana aisee! Yani nikijilinganisha na wenzangu walioishia form four wao wamepiga hatua kubwa sana!
Kingine na kikubwa ni kwamba CONNECTION ZIMEZIDI KWENYE AJIRA, mkombozi aliyebakia Kwa tusio na connection ni SEKRETARIETI YA AJIRA 'UTUMISHI '
Sekta binafsi ndio tiba
 

Mr Devil

JF-Expert Member
Jul 7, 2019
2,660
2,000
Nimechaguliwa
LAW Tumaini University Arusha
LAW Kampala International University
BAED St Augustine University Arusha

Tushauriane hapa sheria au chaki
 

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
14,811
2,000
Nime chaguliwa
LAW tumain university Arusha
LAW Kampala international university
BAED st augustine uni Arusha

tushauriane apa sheria au chaki
Bora sheria, ukimaliza nenda law school. Kama unataka kuwa maskini na kibaraka wa wanasiasa kasome elimu.
 

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2013
6,122
2,000
Huku kitaa maisha tough siyo simple simple kabisa wanaume feki wameshaolewa
...............Hatari sana man!!!mtaani show yake siyo ya kitoto watoto wanaleta masihara.

Kama kuna kijana yupo chuo anategemea atarudi mtaani akutane na utulivu wa maisha ajichunge sana coz kufikiri kwa kutumia kitabu ni rahisi sana kuliko kukitengeneza kile kilichoandikwa kwenye kitabu kiwe halisi halisia.

Utapagawa!
 

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
3,364
2,000
hahahhaaaaa nakumbuka wkt nipo CoET tulikua tunadanganyana et tukimaliza kazi zinatusubiri......

basi tukawa tunaambizana gari ya engineers ni surf, yan tukitoka hapo tunawaza kwenda kupata ajira take home 1.5 ndio minimum


tunawaza kwenda kuwa maboss,,,,,,,,,, aisee ajira ya kwanza nikalipwa hata laki 5 haifiki kazi nafanya za std 7
umenichekesha Sana aisee hata mm ilinikuta hyo hali.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom