"Graduates" karibuni sana mtaani

gilldenu

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Messages
2,374
Points
2,000

gilldenu

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2015
2,374 2,000
Kufeli kwako baada ya ku graduate miaka hiyooooo sio guarantee ya kufeli kwa graduates wa mwaka 2018 katika maisha.
Watanzania wenzangu ni lazima tubadilike.

Mindset za umaskini tusipoziacha tutakuwa tunaenda shule kusoma badala ya kuelimika.
Sema wewe mkuu lqbda watakuelewa...
 
el_magnefico

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2015
Messages
277
Points
500

el_magnefico

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2015
277 500
Graduate jamani karibuni saana mtaani, mmetoka chuoni, mambo yanabadilika na kuwa tofauti, huku mtaani hakuna bumu, huku hakuna atakayekupa pocket money! Wengi wenu mna matumaini makubwa ya kupata kazi nzuri zenye mishahara minono, lakn amini usiamini kuna kipindi itafika utatafuta tu sehemu ya kujitolea hautapata! Ni wakati ambao ndugu watakukwepa na kukukimbia kwa kukuona msumbufu, zile couple za chuoni mlizoahidiana ndoa zitavunjika, hakuna atakayekuthamini. Utazunguka maeneo mengi saana ukatafuta kazi na hautapata. Wapo watakaoenda kwa waganga wa jadi kutafuta maisha mema!
Wadada watajibidiisha kutafuta wachumba na waume za watu, wengine watashikwa mikono na kupelekwa maofisini!
Wapo wazee ambao wako maofisini waajiriwa wa serikali wataambia mjiajiri

Lakini niwaase ni kipindi cha kumtegemea MUNGU saaba.
Hili ulilosema nimelishuhudia baada ya kuhitimu,nilikaa benchi miaka mitatu na kuna watu walinambia ni michache nashukuru Mungu maisha yanaanza kuelekea pazuri sasa.Cha msingi ni kutafuta fursa(ya halali)na kuishughulia kwani hata mimi nilishawahi kufanya kazi ya elfu 5000 kwa siku.Wasikate tamaa na vishawishi vipo vingi mitaani.
 
No 0ne

Member
Joined
May 22, 2014
Messages
97
Points
125

No 0ne

Member
Joined May 22, 2014
97 125
Graduate jamani karibuni saana mtaani, mmetoka chuoni, mambo yanabadilika na kuwa tofauti, huku mtaani hakuna bumu, huku hakuna atakayekupa pocket money! Wengi wenu mna matumaini makubwa ya kupata kazi nzuri zenye mishahara minono, lakn amini usiamini kuna kipindi itafika utatafuta tu sehemu ya kujitolea hautapata! Ni wakati ambao ndugu watakukwepa na kukukimbia kwa kukuona msumbufu, zile couple za chuoni mlizoahidiana ndoa zitavunjika, hakuna atakayekuthamini. Utazunguka maeneo mengi saana ukatafuta kazi na hautapata. Wapo watakaoenda kwa waganga wa jadi kutafuta maisha mema!
Wadada watajibidiisha kutafuta wachumba na waume za watu, wengine watashikwa mikono na kupelekwa maofisini!
Wapo wazee ambao wako maofisini waajiriwa wa serikali wataambia mjiajiri

Lakini niwaase ni kipindi cha kumtegemea MUNGU saaba.
Sasa ukute umemaliza chuo alafu upo mitaa ya karbu na chuo unakutana na madogo ambao bado wapo chuo wanakuuliza aisee mambo vp michongo bado tu? Kwa huzuni unawambia michongo itatiki tu!
 
masoud mshahara

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2018
Messages
4,745
Points
2,000

masoud mshahara

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2018
4,745 2,000
Graduate jamani karibuni saana mtaani, mmetoka chuoni, mambo yanabadilika na kuwa tofauti, huku mtaani hakuna bumu, huku hakuna atakayekupa pocket money! Wengi wenu mna matumaini makubwa ya kupata kazi nzuri zenye mishahara minono, lakn amini usiamini kuna kipindi itafika utatafuta tu sehemu ya kujitolea hautapata! Ni wakati ambao ndugu watakukwepa na kukukimbia kwa kukuona msumbufu, zile couple za chuoni mlizoahidiana ndoa zitavunjika, hakuna atakayekuthamini. Utazunguka maeneo mengi saana ukatafuta kazi na hautapata. Wapo watakaoenda kwa waganga wa jadi kutafuta maisha mema!
Wadada watajibidiisha kutafuta wachumba na waume za watu, wengine watashikwa mikono na kupelekwa maofisini!
Wapo wazee ambao wako maofisini waajiriwa wa serikali wataambia mjiajiri

Lakini niwaase ni kipindi cha kumtegemea MUNGU saaba.
Saafi wakaribie kwenye elimu ya kweli na uhakika
 
Forum statistics

Threads 1,356,338
Members 518,879
Posts 33,130,830
Top