"Graduates" karibuni sana mtaani

Ushauri wangu ni kwamba kwa wale wenye access ya capital/mitaji ie kutoka kwa wazazi, ndugu, marafiki wabuni miradi wasonge wasisubiri ajira, maisha hayasubiri MTU, this is a big bad world tunapaswa kuelewa msingi mkuu wa elimu ni kupata ufahamu zaidi wa kutawala mazingira tunayoishi swala la ajira ni collateral kwa ulimwengu wa sasaNthough ukipata bahati ajirika tu
 
Kazi zipo itakuwa maana kazi zikitangazwa watu hawaombi mpaka mnaanza kutafuta kwa kupigia watu simu
 
dong yi, Maisha yapo tofauti sana. Mimi baada ya kumaliza chuo nilikaa mwezi mmoja na nusu nikapata kazi yenye take home ya 1.1m. Pia nilisoma Engineering.
Most of the technical questions in the interview yalikuwa ndani ya project yangu.
 
Kama ningepata nafasi ya kurudisha wakati nyuma for 5 years nisingekubali kuajiriwa saa hivi nimeajiriwa lakini naona sipigi hatua kabisa familia inakua na mahitaji yanazidi kuongezeka hela yote inaishia kwenye mahitaji ya kila siku nwenye mbinu za kujikwamua toka hapa anisaidie
 
Kwanza kabisa kama upo na mke mtengenezee mazingira ya ajira /mfungulie kitega uchumi ili pesa yake iwe inatumika kwa mambo madogo madogo nyumbani pia. Alafu pesa yako wewe mshahara wako jitahidi kudunduliza dunduliza/Haba na Haba hujaza kibaba huku ukiwa na malengo ufungue katega uchumi kako cha maana hata mwanzo mgumu ila mambo yatakuja kaa sawa jitahidi ufungue hata vitega uchumi vingi vingi kadri siku zikienda.

Itafika hatua umejijengea mazingira unaacha kazi tu uendeshe miradi yako. Labda mkuu ww upo maeneo gani /mkoa gani
 
Kwasasa nomenunua mashamba ya miti yenye ukubwa ekari 24 zenye umri tofauti,tofauti kati ya miaka 4 na 8. Ekari 1 naweza pata kiasi cha Tsh.Mil.5 hadi 7. Zidisha mara 24 utapata jibu la mapato tarajiwa. Karibuni tupande miti kibiashara.
 
Kwasasa nmenunua mashamba ya miti yenye ukubwa ekari 24 zenye umri tofauti,tofauti kati ya miaka 4 na 8. Ekari 1 naweza pata kiasi cha Tsh.Mil.5 hadi 7. Zidisha mara 24 utapata jibu la mapato tarajiwa. Karibuni tupande miti kibiashara.
Hiyo miti uliinunua mkoa upi ?
 
Kwasasa nmenunua mashamba ya miti yenye ukubwa ekari 24 zenye umri tofauti,tofauti kati ya miaka 4 na 8. Ekari 1 naweza pata kiasi cha Tsh.Mil.5 hadi 7. Zidisha mara 24 utapata jibu la mapato tarajiwa. Karibuni tupande miti kibiashara.
Sema uzuri wa miti haiwezi kuungua na moto kabisa! Hongera bilionea wa baadae
 
Mbona watu mkiambiwa ukweli mnawaka? Kuna watu wana degree ila ni walinzi na wanalipwa 100000 per month nyie kitaa mnapachukulia poa sana eti
Kweli kila zama na mambo yake, zamani watu walikuwa wanalazimishwa kwenda majeshini sasa degree holder analipwa laki
 
Tulifeli asee asikwambie mtu maisha ni tofauti na pdf. You can imagine, hatuna hela ya mtaji. Hatuna experience hata kidogo. Brand name haifahamiki
Pole mwamba, mimi nilikuwa na mawazo hayo, nami niliifungua kabisa na usajili nikapata ila uliza hata katiba yake kama ninayo. Life is full of surprise
 
Back
Top Bottom