"Graduates" karibuni sana mtaani

Nokia83

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Messages
24,558
Points
2,000

Nokia83

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2014
24,558 2,000
Vijana ukweli ni kuwa soko la ajira ni gumu sana inabidi muwe tayari na kupitia kipindi kigumu. Mimi nakumbuka nilipata sehemu ya kujishikiza nalipwa elf 40 kwa wiki mwaka 2008 sasa fikiria nauli,kula,nilipie umeme na maji geto...halafu nyumba niliyokuwa nmepanga kuna panya wanakula mpk sox huachi chakula wasipite nacho.

Nilikuwa nanunua ile mikate mikubwa kubana matumizi ikabidi nifunge kamba ndani kama naanika nguo vile lkn natundika mkate ili panya wasiule. Leo hii mtu akiona tumetoka kimaisha anaona labda njia ilikuwa rahisi.

Muwe wavumilivu tu mambo yatajipa taratibu mpk itafika muda bank zinakufuata zenyewe zikukopeshe
 
sandraeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Messages
1,434
Points
2,000

sandraeli

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2013
1,434 2,000

Sawa kaka ushauri konkii
 
Sosthenes Maendeleo

Verified Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
2,491
Points
2,000

Sosthenes Maendeleo

Verified Member
Joined Oct 24, 2012
2,491 2,000
Hili ulilosema nimelishuhudia baada ya kuhitimu,nilikaa benchi miaka mitatu na kuna watu walinambia ni michache nashukuru Mungu maisha yanaanza kuelekea pazuri sasa.Cha msingi ni kutafuta fursa(ya halali)na kuishughulia kwani hata mimi nilishawahi kufanya kazi ya elfu 5000 kwa siku.Wasikate tamaa na vishawishi vipo vingi mitaani.
Hongera kwa kuyashinda magumu yote Mungu akuzidishie wepesi
 
godimpare

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Messages
2,134
Points
2,000

godimpare

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2014
2,134 2,000
ukweli mchungu ila ndo tiba sio kwamba wanawatisha umekuja kitaa ile ganzi ya chuo ishatoka huku ni rangi ingine kabisa pambana ivo ivo matokeo yanakuja ila mawili either kwa kuchelewa au kuwahi
 
Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Messages
30,924
Points
2,000

Daby

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2014
30,924 2,000
Wakuu nawa sisitiza muwe positive jamani kila mtu ananjia yake ya kutoboa katika maisha...
Tehteh... Wewe mutoto ya chifu nini mkuu!

Mtaani kugumu usiwape moyo wadogo zetu....Naamini kuna ambao hawakaa saana ila ni wachache saanaa...wachache.

wazee baba kitaa kugumu jipangeni.
 
Eyce

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2016
Messages
1,703
Points
2,000

Eyce

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2016
1,703 2,000
Unataka usipate stress, baada ya kumaliza chuo? Basi andaa malengo yako even before hujachagua kozi ya kusomea!
Hapa sasa umeongea.. kuna kazi ambazo nje ya ofisi hauajiriki hivyo,mtaa ni lazma uwe mgumu mara mbili na kingine

Malengo yanatakiwa yaanze kabla ya kuchagua chuo na uhakikishe chuoni unaenda kuanzisha na si kula maisha... kwa kiasi fulani hii inasaidia maana hata ukitoka chuoni ni aidha una connections, biashara ama una pa kuanzia..
 
BINARY NO

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2011
Messages
2,029
Points
2,000

BINARY NO

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2011
2,029 2,000
Kwa wale watoto wa maskini mlie mkabidhi mnyonge na maskini mwenzenu nchi mtajuuta kumfahamu yeye akitoa ajira utakua 10 au 50....karibuni
 
wiseman734

Senior Member
Joined
Apr 29, 2018
Messages
120
Points
250

wiseman734

Senior Member
Joined Apr 29, 2018
120 250
Hapa sasa umeongea.. kuna kazi ambazo nje ya ofisi hauajiriki hivyo,mtaa ni lazma uwe mgumu mara mbili na kingine

Malengo yanatakiwa yaanze kabla ya kuchagua chuo na uhakikishe chuoni unaenda kuanzisha na si kula maisha... kwa kiasi fulani hii inasaidia maana hata ukitoka chuoni ni aidha una connections, biashara ama una pa kuanzia..
Unajua Tanzania tuna changamoto nyingi saana, sio wabunifu, mitaji, masoko yote hayo yanatutatiza
 
Forum statistics

Threads 1,354,869
Members 518,561
Posts 33,096,590
Top