Graduates, how do you survive?

Tatizo wengi wetu hatuijui Tanzania. Watu wengi wakishashaanza kazi za kuajiliwa hujitoa ufahamu. Hawaonyeshi tija, ufanisi na ubunifu ktk kusaidia waliobaki mtaani.
The
Tatizo lingine linalotusumbua ni "uaminifu". Tanzania bidhaa hii ya uaminifu imekuwa adimu sana. Mfano wapo wafanyakazi walioajiriwa walijaribu kuchukua mikopo na kufanya "korabo" na wale waliopo kitaa, matokeo yake ndio kwanza mtu hajitumi na kuonyesha "kudhamiria".

Lakini jambo jingine watanzania tumeng'ang'ania sana Bongo. Pale Kongo Kuna utajiri mwingi hauna mwenyewe. Wanyarwanda & waganda wanavuna watakavyo.

Ni vzr likatengenezwa jukwaa la "wale waliopo kitaa" kubadilishana uzoefu na wale walioweza.
 

Unazungumzia laki NNE na kumi na field umepangiwa mashamba ya katani Tanga na kwenu ni mtwara????
 

Nimependa zaidi wazo la kuanzisha jukwaa la "waliopo kitaa" Invisible
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kama dar fursa ziko nyingi tu wala haziitaji capital nene
1.Kua sales agent
1.Sajili business name brela 6000
2.Create ur own brand
3.Tengeneza business cards 100@5000
4.tafuta makampuni ya printing kama large format printing desktop printing offset printing na tsht printing omba quatation zao angalia the best deal omba kua. Commission agent pia unaweza kua una top up price kwa customer wako
5. Andaa quotation then zunguka kwa maofis omba tenda za kusuply printed materials kwa maofisi mashule mahospital nk ofis yako getto kwako
 

kaka em tujuze zaidi kuhusu hzo fursa za kongo km vp tuvuke boda mana bongo hali tete
 

ngoja tuone na hii mkuu, af hzo kuanzia namba 1 ni kaz moja au tofaut tofaut?
 
sio lazima upite nilipopita mimi mkuu,unakula kutokana na urefu wa kamba yako hela hiyo unaweza kuamza hata na kuku wachache au mbuzi jike na dume mpk unamaliza shule yako you have something.


Unazungumzia laki NNE na kumi na field umepangiwa mashamba ya katani Tanga na kwenu ni mtwara????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…