shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,339
mimi nilisoma mzumbe Bsc.applied statistics,huwa tukifika mwaka wa pili tunakuwa na likizo ndefu ya miezi sita,kipindikile cha likizo nilitafuta field halmashauri ya wilaya niliyozaliwa ili kuhakikisha nasave pesa yangu ya field nifanyie kitu cha maendeleo.Nilifanikiwa kuanzisha saloon yangu pale wilayani kwangu,saloon ile inanipa 10,000 kila siku ya mungu kwahiyo nilipomaliza chuo kwakweli machungu ya kutoajiriwa sikuyaona mimi,mpaka baada ya miaka miwili nilipopaka kazi nikaendelea na maisha.Tatizo watoto wa siku hizi wanachezea hela unamkuta na lisimu la 1mil mara ana IPAD mazaga zaga kibao afu akimaliza chuo hana kazi analalamika tu mtaani,tumieni fedha mnazopata vizuri jamani usingojee mpaka umalize chuo ndo uanze kuhangaika hii ni sawa na mtu kufanya kazi akajisahau akaja kushtuka wakati wa kustaafu NI HATARI,PUNGUZENI STAREHE PUNGUZENI KWENDA KUPOTEZA MUDA MLIMANI CITY,PUNGUZENI POMBE,PUNGUZENI NGONO HAKUNA AJIRA SIKU HIZI NDUGU ZANGU AJIRA YAKO NI UBONGO WAKO.
mkuu hata huko kuvolunteer hakupatikani kirahisi hivyo!!
Tatizo ya graduate wengi hawapendi kuvaa uhalisia MTU mda wote anapenda achomekee na wakati buku ya nauli kaomba kwa jama take. me nilimaliza pale st john miaka mitatu iliyopita Lakin baada yakuomba ajira sana niliamua kujiajiri na sasa namshukuru mungu kwani biashara yangu nishaisajili mambo yanaenda. Mtaji ndio wimbo WA kila MTU shida ni usubutu ukiwa na laki moja ni mtaji mkubwa sana Yule mmachinga pale Kariakoo anapata faida zaidi ya elf 20 KWA siku mtaji wake hauzid laki mbil sawa na simu yako ya smart phone
sasa we unaona ni bora aombe hela kwa watu sababu anadegree. Bakharesa na utajiri wote anauza chapati na maandaziwe ni mjinga wa mwisho, yaan umesoma hadi university alafu ukafanye umachinga? sasa kwa nini uliedna chuo kikuu badala ya kua machinga toka enzi izo?
Mkuu hapo kwenye red umepiga za chembe!!!mimi nilisoma mzumbe Bsc.applied statistics,huwa tukifika mwaka wa pili tunakuwa na likizo ndefu ya miezi sita,kipindikile cha likizo nilitafuta field halmashauri ya wilaya niliyozaliwa ili kuhakikisha nasave pesa yangu ya field nifanyie kitu cha maendeleo.Nilifanikiwa kuanzisha saloon yangu pale wilayani kwangu,saloon ile inanipa 10,000 kila siku ya mungu kwahiyo nilipomaliza chuo kwakweli machungu ya kutoajiriwa sikuyaona mimi,mpaka baada ya miaka miwili nilipopaka kazi nikaendelea na maisha.Tatizo watoto wa siku hizi wanachezea hela unamkuta na lisimu la 1mil mara ana IPAD mazaga zaga kibao afu akimaliza chuo hana kazi analalamika tu mtaani,tumieni fedha mnazopata vizuri jamani usingojee mpaka umalize chuo ndo uanze kuhangaika hii ni sawa na mtu kufanya kazi akajisahau akaja kushtuka wakati wa kustaafu NI HATARI,PUNGUZENI STAREHE PUNGUZENI KWENDA KUPOTEZA MUDA MLIMANI CITY,PUNGUZENI POMBE,PUNGUZENI NGONO HAKUNA AJIRA SIKU HIZI NDUGU ZANGU AJIRA YAKO NI UBONGO WAKO.
sasa we unaona ni bora aombe hela kwa watu sababu anadegree. Bakharesa na utajiri wote anauza chapati na maandazi
Tatizo ya graduate wengi hawapendi kuvaa uhalisia MTU mda wote anapenda achomekee na wakati buku ya nauli kaomba kwa jama take. me nilimaliza pale st john miaka mitatu iliyopita Lakin baada yakuomba ajira sana niliamua kujiajiri na sasa namshukuru mungu kwani biashara yangu nishaisajili mambo yanaenda. Mtaji ndio wimbo WA kila MTU shida ni usubutu ukiwa na laki moja ni mtaji mkubwa sana Yule mmachinga pale Kariakoo anapata faida zaidi ya elf 20 KWA siku mtaji wake hauzid laki mbil sawa na simu yako ya smart phone
Kapige kazi za ku-volunteer kwenye profession yako, Angalau utakuwa unapata lunch free (kama ofisi hiyo sio makauzu) unapunguza machungu huku unaendelea kupata uzoefu.
Nipo dar mkuu
Tatizo kubwa la Graduate wa siku hizi ukilogwa ukampa nafasi ya volunteer au maana nyingine tunaita Entership, umekwisha. WANAPIGA SI KAWAIDA. Sasa tabu ya nini, nikuajili alafu nikae kukuchunga husinipige mtaji. Kwa kweli mimi nikishasikia mtu ni graduate alafu kavaa Kata Kiuono. Mwogope sana.Unatakiwa kuielewa sentensi hiyo::: Maisha ni kupambana so there is either upambane na utoke au ugive up!! Giving up life u understand maana yake nini... So usifikiri ni utani bali ni njia ya kuconvey message kwako kwamba fight and utatoka... Sasa unafight nini... Do any work that is legal and win ur daily bread, make connections na watu waliopo kazini ili kupata wigo Zaidi wa discipline yako
Kijana wewe una tatizo kubwa sana. Mtaji mkubwa kwenye ajila ni WAZO. Ukiwa na wazo na ukalitathimini likwa feasible then umeshatokaaaaaaa. Mtaji utakuja tu. Uwezi kusema unataka shs ngapi wakati hujui la kufanya.Mkuu ukituambia ulijiajiri katika kazi gani au biashara gani na kwa mtaji kiasi gani utakuwa umetusaidia zaidi.