Graduates 2018 karibuni sana mtaani

Graduates 2018 karibuni sana mtaani

Waambie kale kabooom walikokuwa wanapata kalikuwa ni mtaji, kama wamekaingiza kwenye matumizi mengine ya anasa watapata tabu sanaaaaaaa.
 
Mbanano unazidi kuongezeka kitaa. Na bado vyuo vinachukua malighafi (new students) tu kuendelea kuzalisha.

Hivi kwanini sirikali isitumie approach za kiuchumi/kibiashara?

Yaani kwasababu Inventory (graduates walioko kitaa) bado ni kubwa, waache production (vyuo vifungwe kwanza) mpaka pale inventory itakapopata soko ndio waanze tena production.
Yaani wengine wasisome kisa wewe/nyie hamna kazi
 
Baada ya kumaliza chuo ni muda muafaka sasa wa kuyatupia hayo makaratasi munayoita digirii kabatini muingie kitaa mukakomae na vibarua vya zege mtaani,.
 
Graduate wa make sure kwenye simu zao hawakosi apps ya meta trader, ninja trader (FOREX) na mbet ( betting) nk ni kukomaa kwako tu kujua, wakati wanachek harakati zingine, kitaa kigumu ila Mungu pia ni mwema
Kweli kaka, tumebet sana mikeka kabla hatujapata michongo ya maana kitaa
 
Yaani nyie washija Bana mnajua kututisha Graduate wengi tumemaliza chuo tangia Mwezi wa saba, Maisha ya kitaa tunayajua , Majohoo tumeveaa Mwezi wa kumi tangia mwezi wa saba watu yupo tayari kitaa ,Wengine wamepata ajira hata kabla ya gradu , msitutishe bana tutanasurvive, Na maisha yanaendaje Ajira bahati ya mtu
Hakuna anayewatisha hapa. Kinachozungumzwa hapa ni uweli mtupu kwamba usije kitaa na matarajio makubwa sana. Kila kitu lazima kianzie from the scratch
 
Back
Top Bottom