Inategemea huenda chuo ulikuwa unapata mkopo ukawa-unasurvive sasa kitaa hakuna mikopo, ukisema utauza ideas zako utamuuzia nani ili upate mtaji na pesa imekuwa duniMsitutishe mbona kitaa cha kawaida tu kama tumeweza school tushindwe kitaa kina nini kikubwa kukomaa kama tulivyo komaa class
Na wewe ngoja tukuache kwanza!!Msitutishe mbona kitaa cha kawaida tu kama tumeweza school tushindwe kitaa kina nini kikubwa kukomaa kama tulivyo komaa class
Dawa haijaingia subiri kidogo......Msitutishe mbona kitaa cha kawaida tu kama tumeweza school tushindwe kitaa kina nini kikubwa kukomaa kama tulivyo komaa class
BuhahahahahaaaaDawa haijaingia subiri kidogo......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti kama tumeweza school!... Karibu nyundoni ( kitaa)Msitutishe mbona kitaa cha kawaida tu kama tumeweza school tushindwe kitaa kina nini kikubwa kukomaa kama tulivyo komaa class
Tunakuja wit[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti kama tulivyokomaa darasani!... Karibu nyundoni ( kitaa)
Karibuni sana asee!...tunawahitajiTunakuja wit
Kuna fani na fani ukisomea lazima soli ya kiatu iishe
Kuna dogo kamaliza juzi kati hapa anapigiwa simu kila kona wanamtaka aende kuwapigia kazi baada ya kutuma CV zake
Kakaa kitaa wiki yuko job saivi wiki mbili zijazo anakula first salary
Mzee baba mpaka sasa nishaanza vibarua vya ujenzi kutafutia mtaji kidogo ili niingie field ya ufagaji kidogo
Utakuwa unanipa lift eh[emoji28] [emoji28]Karibuni sana asee!...tunawahitaji
Kuna jamaa flani kamaliza degree ya sanaa mwaka 2015 mpaka leo daah sio poaHuu mwezi wa 4 naenda kuanza wa tano, namba tshaanza kuisoma.
Ukweli mtupuDogo atakuwa IT aliyeiva kwenye programming bila shaka, hao wa hivyo with the right connections toka chuo huwa hawamalizi mwezi wanakuwa washakula mashavu! Nina chalii yangu alikuwa ni jembe la ICT-B Mzumbeni yuko Maeneo flani Masaki huko wamenyakua chap Vaccation zake Dubai tu now, Company yake wasiojua Code wanasugua kitaa! Hio ndio IT
IT tamu hasa ukijua Networking, Programming na Database zama hizi za mifumo hufi njaa tofauti na Graphic Designs hata wasioenda shule wanafanya tu haina ishu sana! Ila ujue kweli IT haina ubabaishaji kama hujui hata uwe na First class GPA haisaidii utaisoma namba tu!