Graduates 2018 karibuni sana mtaani

Graduates 2018 karibuni sana mtaani

Platformtz

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2017
Posts
267
Reaction score
406
Natamani niwambie ukweli ila kwa zile tabia zenu kabla ya kugraduate nashindwa nianzie wapi.

IMG-20181122-WA0000.jpg
 
Msitutishe mbona kitaa cha kawaida tu kama tumeweza school tushindwe kitaa kina nini kikubwa kukomaa kama tulivyo komaa class
Ku komaa chuo
Msitutishe mbona kitaa cha kawaida tu kama tumeweza school tushindwe kitaa kina nini kikubwa kukomaa kama tulivyo komaa class
ni vitu viwili tofauti dogon
 
Kuna fani na fani ukisomea lazima soli ya kiatu iishe

Kuna dogo kamaliza juzi kati hapa anapigiwa simu kila kona wanamtaka aende kuwapigia kazi baada ya kutuma CV zake

Kakaa kitaa wiki yuko job saivi wiki mbili zijazo anakula first salary
 
Kasoma nn mkuu
 
  • Thanks
Reactions: Sax
Mbanano unazidi kuongezeka kitaa. Na bado vyuo vinachukua malighafi (new students) tu kuendelea kuzalisha.

Hivi kwanini sirikali isitumie approach za kiuchumi/kibiashara?

Yaani kwasababu Inventory (graduates walioko kitaa) bado ni kubwa, waache production (vyuo vifungwe kwanza) mpaka pale inventory itakapopata soko ndio waanze tena production.
 
Mbanano unazidi kuongezeka kitaa. Na bado vyuo vinachukua malighafi tu kuendelea kuzalisha.

Hivi kwanini sirikali isitumie approach za kibiashara? Yani kwasababu Inventory (graduates walioko kitaa) bado ni kubwa waache production (vyuo vifungwe kwanza) mpaka pale inventory itakapopata soko ndio waanze tena production.
Unazijua faida za kuwa na wasomi wengi nchini hata kama ni jobless tafakari upya ..! Ila wazo lako zuri pia
 
Back
Top Bottom