Bisansaba
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 292
- 109
Habari wanajf, kuna mtu keshaitwa kwenye interview DTB au anataarifa yoyote kuhusu hiyo post? Kwa sababu walisema watakaofaulu wataanza mafunzo mwezi wa 1, na ndio huu umefika, kwa upande wangu naona bado wako kimya sijui nyinyi wenzangu mlioomba. Tujuzane!