Nendeni pale SUA, mtafute Dr. Anna Temu (department of agricultural economics and agribusiness) atawapeni ushauri mzuri. Mtatoka tu.
Nendeni pale SUA, mtafute Dr. Anna Temu (department of agricultural economics and agribusiness) atawapeni ushauri mzuri. Mtatoka tu.
Graduates? Tanzania?
Stupid idea! Ngoja tuone. Wazo zuri sana, ila neno graduates ndani yake ndio limewakwamisha watu wengi. Kuna tofauti ya kuandika makaratasi mkayaita proposal na utendaji kwenye field. We nenda na graduatism halafu tuone mwisho wake.
Ukiona taasisi inayumba hapa kwetu, ujue ina rundo la graduates na watendaji wachache. Nasikitika vyuo vikuu vyetu ni zero kwenye field ndio maana sitegemei jambo positive hapo.
wakuu kwanza kabisa nawapongeza kwa hilo wazo la kishujaa badala ya kuzunguka na makaratasi (cv) mjini kutafuta kazi nina matumaini kabisa mtafanikiwa msipokata tamaa na msikubali kabisa kukatishwa tamaa na mtu yoyote yule kwa namna yoyote ile keep moving.Kutafuta msaada ni wazo zuri bt make sure mna plan b kwa mfumo wa nchi yetu inaweza kuwa ngumu kupata mkopo/msaada mi nawashauri muanze kidogokidogo kulingana na uwezo wenu wakati mnasubiri mkopo/msaada na mtakachokipata mnakirudisha kwenye mradi.All the best