Graduate fanya mambo haya!!

RO7 ZA MGOS

JF-Expert Member
Sep 27, 2016
1,662
4,568
Habar wakuu!!
Moja kwa moja npo fire ile nmeona sio mby nkashare ktu flan hasa hasa kwa graduates ambao wanasafa perpendicular to form gradient (joke)....km mm.

Mabibi na mabwana km walivopata ajira watu wengne hapa Tz na mm Mungu amekuwa upande wangu lkn nmeingia kama kawaida kwa kushikwa mkono hyoo n baada ya kivumbi na jasho kwa toka n graduate 2017.

SASA GRADUATE JARIBU KUFANYA HIVI..;
1. kama huna connection tafadhali ww kupata mchongo wa maana ni 5% . Ndg yangu sio lazma uwe na mzaz in system au nan sjui ila penda kuwasliana na marafik walioko kilaa sehem tz.

2. Graduate acha ushabiki wa kisiasa waziwazi. Rafiki zangu umemalza chuo najua njaa n heavy sn ila chama chako kiwe rohon. In process nmeombwa ID ya chama flan mara kadhaaa (C*M).

3.GRADUTE hakikisha una kasmart fon hata kale ka vodafon ka elf40. Hii n kutokana na mishe ming kutangazwa online zaid kuliko mitaan (kuna jamaa angu leo ndo anajua ajira za uboreshaj daftar zishapita) so sad.

4. Graduate usishinde vijiwe vya kifala na failures hawa watakuongezea stress. Make sure you are selective. Kumbuka hawa ndio huwacheka graduates due to psychological problem zao.

5. Graduate fanya kazi za nyumban if upo home kwa wazazi. Hii huondoa fikra kwambaa ww n mzgo tena. Weka nyumba yenu safi mgeni akiingia ajue hapa kuna graduate.

6. Graduate hudhuria semina mbalimbali eg kilimo,ufugaji,siasa, ujasiri na mali etc. Hz mazee n additional knowledge pindi ukiajiliwa au ukijiajiri mwenyew

7. Graduate kuwa karibu sn na serikal ya mtaa au kijiji. Kuna tudili hupitia huko mfano jkt, wawakilishi wa mtaa/kjj ktk semina mbalimbali wilayan au mkoan...

8. Graduate unakula, una sehem ya kulala?? Acha kufanya kaz za kujidhalilisha eg kuuza bar, karanga, kuendesha bodaboda nakuhakikishia kuna deal zita ku exclude au utaji exclude according to nature. Mfano kupata majeraha kwa boda huwez kufiti baadhi ya kaz znazotaka smart figure eg bank etc

9. Graduate kamwe usiishi kwa kumwangalia uliyemwacha na kukuta kaowkajenga nyumba, sjui ana kiboda hvo garama zake mm huwa naona zpo ndan ya akili zetu ndo maana tuliendaa chuo.

10.. Last ya ma countdown's n graduate acha kuishi sehem hiyohiyo miaka yote hamaa kuna sehem kuna mikos watu kukuzoeaa kiboya nenda uka meet na watu wapya mawazo mapya usiogope kulala sebulen kwa shem kwan neema yetu n kubwa



Thanks hongera kwa graduates wote tz tumesoma kwa shda munoo alafu kwann tudharaulike...
 
Bado sana ujaelewa maisha yalivyo na hizo mbinu ni kama unamalengo makubwa hii ni platform kubwa subir uelimishwe vzr Kama unandoto yakuwa milionea hakuna cha kufata kwenye hiyo list ignore fata mbinu mpya hizo za kizee sana
Ila kama utaishia kuajiriwa CRDB ukahisi hiyo ndio ndoto yako fresh pengine hizo mbinu ziko poa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom