Habar za jumapili wana jamii forum jana nimekutana na balaa la mwaka dah yaan sijui huu ni mkwara au its real nikiwa mahali fulan hv nilimwona msichana fulan hv mzur sn very beautiful na ana figa bomba haswa ila kifuan alikuwa na matiti madogo lkn bado alionekana mrembo haswa mbaya zaid sasa na kucheza alikuwa anajua haswa yaan anakatika balaa nikaona isiwe kesi nikazama kishujaa
Kipind najaribu kusoma mazingira niligundua kuwa wanekuja watatu yy na rafik zake wawili wakawa wanacheza wote watatu kwa pamoja basi midume imewazunguka kila ntu anataka kucheza nao mm target yangu ni yule yule tu nikamfuata nikamsalimia akaitikia tukaongea mawili matatu akawa anacheza yupo ktk mzuka sn nikaona uyu kalewa ngoja nimpigie timing nikasogea pemben sasa nikaona rafik yke mmoja katoka kaenda kukaa kwenye kiti nami nikamuunganishia apo ndio zikaaanza stor za hapa na pale tukafahamiana akanipa contact zake tukaendelea kushuka mistar heeeh dk chache akaja na yule niliekuwa namtaka apa ndio nikapata chance nikaongea nae vitu ving kidogo.
Yule mwenzao mmoja alienda choon tukabak wawili nilimpenda sn kwa wakat huu na nikamwomba tudance akadai mziki unaopigwa haupend nikamwambia unapenda mziki gan nikamwambie DJ aweke akasema usiende utapigwa tu tukaongea mawili natatu gafla wale wenzie wakawa wanatoka choon wakaja kwa mda huu sikupata tabu kwa sababu tulikuwa tushafahamiana sasa yule wangu na yule mwingine wakasema wanaenda kucheza yule mwingine akasema yy atabak akawakataza kule kat wasiende na simu wataibiwa wakamkabidh simu wakasepa kwenda kucheza mm nikabak na uyo dada sasa apo ndipo balaa likaanza
Kuna mshikaji alikuja ni makamo ya mbaba hv nafanya nae kaz ofisi moja akawa anataka kumnunulia demu kinywaji demu akakataa akaninunulia mm GRAND MALTA akasepa sasa apo tukabak wawili duh akaanza kuniambia nijichunge sn na ananipenda sn kwan yy ana uwezo wa kuona mbal na future ya mtu nikamwambia fafanua akaniambia kwao ni wachawi nikamuuliza kwaio apo una external power akasema ndio akaniambia nikiiba au nikisema uongo ntakufa Nikamwambia kwaio unahisi mm mwiz akasema hapana ili nisijaribu kuiba ntakufa na msititizo mkal nilimind ila nikasema ngoja nivute kiti nimsikilize vzr aliongea ving sn nikamuuliza kuhusu uongo ni dhambi ambayo haikwepeki.
Nikamtolea mfano yule rafik yko nikimwangalia tu tayar kihisia nshajua nampenda je akiniuliza nina mpenz nimjibu nn zaid ntamwambia sina akasema mwambie unae mwambie ukweli tu zaid ya hapo utakufa huuon mwaka mpya tuliongea ving akaniambia na yule rafik yako mwambie atakufa aache wiz uongo duh !!! Nikamchek mshikaj namjua kapinda na huwa hapend ujinga na alishawah kwenda jeshin nikasema nikienda kumwambia ujinga huu si atampiga huyu dada makofi apa apa nikakausha nikaongea nae kidogo walewenzio wakasema tuondoke wakaniaga nikawazuia nikamwambia one more question wenzio wakawa wanamvuta tuondoke japo nae aliraka kuendelea kuongea na mm wakasepa
Je, hili ni bit au it is real mm siamin uchaw japo huyo dada ukimchek ni msom na hata nilipokuwa namchomekea maneno ya kingereza alikuwa ana nielewa clear ila mwonekano wke una ukakasi kidogo macho yke akikuangalia hana aibu ata punje dah niliogopa mara fula n nilihisi isije likawa jin limenitokea lkn nilitengua hayo mawazo kwa sababu majin huwa ni wazur kupindukia na wanapaka pafyumu kali hatar lkn huyu alikuwa kawaida sana.