Grade A wametelekezwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Grade A wametelekezwa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by nyambari, Oct 20, 2011.

 1. nyambari

  nyambari JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 324
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Yapata miezi mitatu sasa tangu walimu tarajali wapate matokeo yao lakini cha kushangaza ni kwamba serikali imekuwa kimya kabisa kuhusu suala la ajira zao au ndo mambo kama ya bodi BUDGET EXHAUSTED ?
   
 2. hbi

  hbi JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
  Nimeskia post zao zitatoka february..
   
 3. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Bado mapema sana.
   
 4. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi iko mbioni kukamilisha zoezi la pasting kwa walimu wa ngazi zote.Unaombwa uwe mvumilivu kwani subira huvuta kheri.
   
 5. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Kazi ipo serikali imebanwa kila upande mambo hayaendi inavyotakiwa....kazi kweli kweli
   
Loading...