Grace products kuna ambao wamewahi kutumia?anayejua please

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,008
17,920
Kama kuna mtu amewahi kutumia hizi bidhaa tafadhali

Jee ni kweli zinafanya kazi mwilini?

Jee zinang'arisha ngozi?

Kuna mtu amewahi kutumia?
 
Grace product zipo nyingi, unaulizia ipi exactly, natumia shampoo ya Grace naona ni nzuri
 
Back
Top Bottom