Grace Kihwelu: Mbunge wa CHADEMA mwenye Certificate ya Hotel Management

Bora huyo kuliko wale wenye degree za chupi! na tunawajua wooooote! maana hata Ubunge viti maalum ni kama walivyopata degree zao! Grace kapigana kwa kujenga hoja mwenyewe!
 
Wasomi wapo CCM bana!
Chadema hazina yao watu kama hawa, shuleni walikimbia "umande"

Kweli wasomi wapo CCM.
Ila nafikiri hii ni kasumba (mentality) iliyopitwa na wakati.
Tujiulize yafuatayo ili tuone 'wasomi' hao wametusaidia nini:-
'Wasomi' hao ndio waliotufikisha hapa kama taifa (umaskini wa kutisha)
'Wasomi' hao ndio wanaotia saini mikataba mibovu ya madini
'Wasomi' hao ndio walioahidi 'maisha bora kwa kila mtanzania' !!!

Usomi bila tija unasaidia nini taifa letu.
Wamesoma saana, halafu ndio wametusaidia nini??
Kama kwa usomi wao ndio wametufikisha hapa kwenye umaskini huu, JE, wasingesoma hali ingekuwaje ???
 
Pole Ndugu yangu kama bado ni miongoni mwa wale wasiojua kwanini elimu ndio msingi wa maendeleo, kwanini tunahimiza watoto wetu waende mashuleni wapate kuelimika na kufika hadi vyuo vikuu.
Naona itanishinda kazi ya kukuelimisha nini umuhimu wa elimu.



hacha utoto bhana.
Usomi sio kuwa na vyeti tu ni pamoja na huwezo wa kujitambua na kupambanua mambo!
 
Huyu ni Mbunge wa viti maalum, Mkwe wa mzee Ndesamburo mwenye Certificate ya Hotel Management.
Watu aina hii ndio chadema inategemea ikitwaa dola wawe Mawaziri?

NameGrace Kiwelu
11241.png
SurnameKiwelu
First NamesGrace Sindato
Alternate Name
Title
Country of BirthTanzania
Positions
FromToOrganisationPosition
2005Special Womens SeatsMember
Date of Birth14 Mar 1967
Political AffiliationCHADEMA
eMail
Telephone
Address
NotesEDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Young Men's Christian Association Certificate in Hotel Management Course 1987 1988 CERTIFICATE
Marangu Secondary School O-Level 1982 1985 SECONDARY
Makurumla Primary School Primary Education 1979 1981 PRIMARY
Kiwalaa Primary School Primary Education 1975 1979 PRIMARY
--------------------------------------------------------------------------------
CERTIFICATIONS
Certification Name or Type Certification No. Issued Expires
No items on list
--------------------------------------------------------------------------------
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date
Keys Bureau de Change Manager 2000 2000
Moshi Phamarcy Purchasing Officer 1992 1999
Keys Hotel Cashier 1989 1991
--------------------------------------------------------------------------------
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position From To
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Member of National Council 2003
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Member of Parliament 2000 Todate
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA UWT Chairperson (Moshi District) 1996
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Member 1992 Todate
---------------

Usitafute matatizo wewe, ccm ndio wamejaaa vihiyo wa kutosha alafu ndio mabingwa wa kuvishana shahada za ukoka wakiongozwa na mwenyekiti wao. Kuna mwingine alikuwa anajiita Doctor wa uchumi kumbe anayo Diploma ya uchumi tu (Aliwahi kulipuliwa na gazeti la mwanahalisi na hakukanusha na anatokea Kanda ya ziwa). Ninaipenda CDM kwa kuwa kikubwa ni uadilifu na uzalendo kwa nchi yako kwanza alafu mengine yote baadae.
 
Undugulization umejaa CDM...
Kila kiongozi mkuu ndani ya CDM ana mtu wake kwenye ubunge...
Hata kama hana qualifications!!

Ningeshangaa sana usingetokea hapa kuweka comments zako. Rejao umeingia kwenye mtego mdogo sana na wa kijinga. Siku kadhaa kwenye hoja za msingi kwa mustakabali wa Taifa umekuwa unaingia mitini umerudi kwenye issue hii very low...

Serikali yetu inayoongozwa na CCM ina wasomi wengi sana Maprofesa, Madocta na Mainginia.. Ukisoma CV zao unaweza kukimbia.. Lakini kiko wapi ? As if hawa viongozi wa serikali wana taaluma ya ubadhilifu na kujilimbikizia mali na sio kama kwenye vyeti na taaluma zao. What a shame..
 
Hivi Ndugu ulikuwa hajagundua kuwa unahitaji kuwa mtu wa IQ ya juu kuweza kuendesha ufisadi, ngoja basi nikueleze hilo. Mbumbumbu wa elimu hawezi kufanikisha deal ya ufisadi, hiyo ni moja.
Pili, ufisadi ni hulka au tabia ya mtu, wapo wasomi wengi tu sio mafisadi.




Hao wasomi walio CCM wameisaidiaje nchi kupambana na umaskini kama sio kuifisadi nchi na kutusababishia kuwa maskini wakati tuna maliasili nyingi.Amka ndugu yangu usiwe na fikra mgando hivyo.
 
Naona tunajichanganya hapa.
Usomi sio maana yake uzalendo
Usomi sio maana yake kuipenda nchi yako
Nadhani umaskini wetu nk (yote uliyoyasema) yametokana na kuwa na viongozi (wasomi/wasio wasomi) waliokosa uzalendo! Naona watanzania tumekosa kufundishwa mashuleni soma la Uzalendo na uraia bora, na ndio maana matatizo yoote haya.
Kiongozi mzuri inabidi awe msomi halafu awe ni mzalendo, hapo tutafika



Kweli wasomi wapo CCM.
Ila nafikiri hii ni kasumba (mentality) iliyopitwa na wakati.
Tujiulize yafuatayo ili tuone 'wasomi' hao wametusaidia nini:-
'Wasomi' hao ndio waliotufikisha hapa kama taifa (umaskini wa kutisha)
'Wasomi' hao ndio wanaotia saini mikataba mibovu ya madini
'Wasomi' hao ndio walioahidi 'maisha bora kwa kila mtanzania' !!!

Usomi bila tija unasaidia nini taifa letu.
Wamesoma saana, halafu ndio wametusaidia nini??
Kama kwa usomi wao ndio wametufikisha hapa kwenye umaskini huu, JE, wasingesoma hali ingekuwaje ???
 
Huyo utamlinganisha na maji marefu?au kwa sababu anaitwa profesa.Je majukumu yake ni vipi utendaji wake.Wapo wabunge wa ccm ni wasomi wakubwa ila wameweka proffesional zao mfukoni kwa ajili ya magamba.Shame on you
 
Msema kweli MPENZI WA MUNGU. Bora CERTIFICTE YA HOTEL MANAGEMENT YA UKWELI kuliko PhDs za uongo/kuchakachua kama DRS. Nchimbih, Nagu, Kamala, Mahanga, Mathayo etc.
 
Wasomi wapo CCM bana!
Chadema hazina yao watu kama hawa, shuleni walikimbia "umande"
kusoma kunamsaidia mtu kuelewa kitu kirahisi na kwa haraka lakini kiujumla waliosoma hapa kwetu hawana msaada wowote kama hao unaosema wa ccm wenye phd na madocta lakini bara bara zina jengwa na wachina wasiosoma tena inasemekana ni wafungwa huko kwao ....mfano aliosomea engineering hapa kwetu anafanya kazi wapi za taaluma yake wakati hao wa ccm wameuza viwanda vyote siku hizi hata watu wa engineering hawana pakufanya field

 
Job Lusinde vipi mkuu.

[h=2]Member of Parliament CV[/h]
GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1694.jpg
First Name: Livingstone
Middle Name: Joseph
Last Name:Lusinde
Member Type:Constituency Member
Constituent: Mtera
Political Party: CCM
Office Location: Box 50, Dodoma
Office Phone: +255 755 453327/+255 785 679927
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: llusinde@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 4 March 1972
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Mbigili Primary SchoolPrimary Education19801987PRIMARY
CCM College IhemiCertificate20072008CERTIFICATE
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Mtera Constituency20102015
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position FromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary - Tarime District20062010
Chama Cha Mapinduzi, CCMAssistant Secretary/Accountant20062007
CHADEMAMember - National Executive Board1995
Civic United Front, CUFSecretary - Kawe Constituency19921995
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary
 
Naona tunajichanganya hapa.
Usomi sio maana yake uzalendo
Usomi sio maana yake kuipenda nchi yako
Nadhani umaskini wetu nk (yote uliyoyasema) yametokana na kuwa na viongozi (wasomi/wasio wasomi) waliokosa uzalendo! Naona watanzania tumekosa kufundishwa mashuleni soma la Uzalendo na uraia bora, na ndio maana matatizo yoote haya.
Kiongozi mzuri inabidi awe msomi halafu awe ni mzalendo, hapo tutafika
naona mleta mada alitaka kufananisha na CV za akina Vicky, Grace ni kuwa hajadanganya kuandika Masters na Bachelor za uongo kama hao. Na hilo ndilo linalotusumbua, yaani elimu fake badala ya kueleza elimu yako halisi

 
Wasomi wapo CCM bana!
Chadema hazina yao watu kama hawa, shuleni walikimbia "umande"

Sure! si unacheck ccm ina akina Chenge, RA, EL, Dr Idrisa Rashid na jinsi wanavyoisaidia nchi kusonga mbele.
unakumbuka? ".....Hawa jamaa hawashikiki, tukiwashika tu nchi itayumba." - Mizengo Pinda
 
Heee mnashangaa huyu,mbona CDM ina vilaza wengi tuu kina Sugu,Mnyika,Lema,Mbowe,Ndesamburo, hawana shule yeyote ya maana wanapiga domo tuu ndo wawe mawaziri haaaaaa
 
Back
Top Bottom