Grace Kihwelu: Mbunge wa CHADEMA mwenye Certificate ya Hotel Management

...nchi hii imefikishwa hapa ilipo na wasomi wa CCM.
hakuna haja ya kuangalia wasoni wa makaratasi ila utendaji mbovu.Mikatabaya ya ki***nzi imesainiwa na wasomi wa ccm.Ni Bora sana CV ya Grace kiweli ya Hotel MNGNT ni ya ukweli kuliko hizo Digrii za Hewani za wabunge wa CCM.
Hebu tupe CV za Lameck Airo,Job Lusinde,Maji Marefu,John Komba......
 
Heee mnashangaa huyu,mbona CDM ina vilaza wengi tuu kina Sugu,Mnyika,Lema,Mbowe,Ndesamburo, hawana shule yeyote ya maana wanapiga domo tuu ndo wawe mawaziri haaaaaa
acha kuropoka utakuja kufungwa bure kwa kuksema uongo..........
 
Wasomi wapo CCM bana!
Chadema hazina yao watu kama hawa, shuleni walikimbia "umande"
hao wasomi wa ccm wameifanyia nini taifa letu?
Dr balali kafanya nini? mwanasheria mkuu mstaafu kafanya nini? naorodha inaendelea hao wasomi wenu ndiyo wametusababishia umaskini huu. walaaniwe wote
 
Huyu ni Mbunge wa viti maalum, Mkwe wa mzee Ndesamburo mwenye Certificate ya Hotel Management.
Watu aina hii ndio chadema inategemea ikitwaa dola wawe Mawaziri?
Chuo gani kinatoa mafunzo ya degree ya uwaziri?
 
Tena huko Uchina ndio kabisa usiseme, huko watoto wanatofautishwa kiakili mapema kabisa, yaani kuna matabaka mapema kabisa ya kuwa wewe una akili utaendelea na mfumo huu wa elimu hadi chuo kikuu na kusomea labda udaktari, engineering, laws etc, wewe grade zako zipo hapa wewe utakwenda vocational training nk. Yaani, ukiwa na akili shuleni unaendelezwa kwani wanajua wewe tofauti na wengine. Matabaka ya Usomi yapo

kusoma kunamsaidia mtu kuelewa kitu kirahisi na kwa haraka lakini kiujumla waliosoma hapa kwetu hawana msaada wowote kama hao unaosema wa ccm wenye phd na madocta lakini bara bara zina jengwa na wachina wasiosoma tena inasemekana ni wafungwa huko kwao ....mfano aliosomea engineering hapa kwetu anafanya kazi wapi za taaluma yake wakati hao wa ccm wameuza viwanda vyote siku hizi hata watu wa engineering hawana pakufanya field

 
Pole Ndugu yangu kama bado ni miongoni mwa wale wasiojua kwanini elimu ndio msingi wa maendeleo, kwanini tunahimiza watoto wetu waende mashuleni wapate kuelimika na kufika hadi vyuo vikuu.
Naona itanishinda kazi ya kukuelimisha nini umuhimu wa elimu.

hebu tueleze wale wenye elimu kubwa unayodhani na ambao wengi wao ni level ya degree wamelisaidia nini taifa ili lenye kero nyingi kama taifa lisilo na wasomi.

Na naomba utuambie ni level gani mtu akifika tumuite msomi?

Je usomi ni kuwa na vyeti ndani?
 
Acha ubumbavu mbona mwenyekiti wenu Mr dhaifu ana degree lakiini ni KILAZA. Tuletee basi CV ya
1.Prof Majimarefu
2.Capt JOHN KOMBA
3.Aliyekuwa Waziri mkuu kabla ya kustaafu Fredrick Sumaye
4.Chrisant Mzindakaya
Au unatishwa na majina ya udokta wanayojiita Acha ufala kama kikwete ameongoza nchi kwa kiwango cha chini kabisa pamoja na degree yake ya uchumi atashindwaje kuongoza grace kiwelu.
 
Tazama kule REPUBLIC OF SOUTH AFRICA, JACOB ZUMA hana chochote zaidi ya uwezo wa kuiletea nchi yake maendeleo. Siasa chafu za T.MBEKI zilifanya wanachama kuMnyang,anya uenyekiti na mwisho kujiuzuru urais wake akaingia MONTRANE kipindi cha mpito. Kubwa kwa huyu mbunge n nini anayafanya kulingana na majukumu yake. Kuna ma dr hata bungeni wkt mwingi ni JANGA LA TAIFA,Wananchi wanataka maendeleo sio wilaya mpya au elimu ya mtu anaewawakilisha.
 
Naona tunajichanganya hapa.
Usomi sio maana yake uzalendo
Usomi sio maana yake kuipenda nchi yako
Nadhani umaskini wetu nk (yote uliyoyasema) yametokana na kuwa na viongozi (wasomi/wasio wasomi) waliokosa uzalendo! Naona watanzania tumekosa kufundishwa mashuleni soma la Uzalendo na uraia bora, na ndio maana matatizo yoote haya.
Kiongozi mzuri inabidi awe msomi halafu awe ni mzalendo, hapo tutafika

Hapo kwenye red umenena.
Hii inamaanisha kuwa viongozi wa serikali hii hawana uzalendo na nchi yetu, hawafai kuwa viongozi.
 
Huyu ni Mbunge wa viti maalum, Mkwe wa mzee Ndesamburo mwenye Certificate ya Hotel Management.
Watu aina hii ndio chadema inategemea ikitwaa dola wawe Mawaziri?

Mimi nadhani imefika wakati Elimu ya mtu tusiangalie sana tuangalie utendaji wake, hivi unaweza kuamini siku Kikwete anadanganya Jukwaani kwamba atafanya maisha bora kwa kila Mtanzania, mimi nilikubari kumpigia kura hasa nikizingatia ana digrii ya Uchumi, kumbe hana lolote ni heri ikiwezekana kumpa nchi mtu wa darasa la saba kuliko kikwete
 
hivi ndugu ulikuwa hajagundua kuwa unahitaji kuwa mtu wa iq ya juu kuweza kuendesha ufisadi, ngoja basi nikueleze hilo. Mbumbumbu wa elimu hawezi kufanikisha deal ya ufisadi, hiyo ni moja.
Pili, ufisadi ni hulka au tabia ya mtu, wapo wasomi wengi tu sio mafisadi.

hebu wekeni basi na ya prof:maji marefu wajameni.....
 
Tunaomaba pia CV ya mnadhimu mkuu wa Serikali Mh. sana William Lukuvi halafu tulinganishe na ya maadhimu wa kambi ya Upinzani Mh. Tundu Lissu.

Akili ndogo kutawala akili kubwa. Hii iwe miwsho 2015
 
Weka na wewe CV yako tuone, kazi yako ya ush_ga umeacha pale karibu na Sinza Bar?
 
Young Men's Christian Association Certificate in Hotel Management Course 1987 1988 CERTIFICATE

Yeye ni wa jinsia gani?

 
Uongozi wowote unahtaji kwa pamoja elimu na nidhamu tatzo la viongoz wa taifa hili ni ndhamu,uwajibikaji pamoja na uadilifu na hizi ndizo zmewafikisha watanzania hapo walipo bila matumaini yoyote kutokana na mfumo wa utawala uliopo
 
Mimi napendekeza kwenye katiba mpya mbunge lazima awe na first degree ili kupunguza haya matatizo ya cv zenye kichefuchefu
 
Tatizo letu sisi watanzania tumekuwa na kasumba moja ya kuona mtu mwenye kisomo cha juu sana ndiyo anajua kila kitu ni maprofesa wangapi wapo bungeni na hamna walichokifanya hata hao wanaojisifia wachumi wa daraja la kwanza mbona ndiyo wanaoongoza kuukandamiza uchumi wetu,tusimjadalili mtu kwa vyeti jamani certificate is just a paper uwajibikaji n uweze wakuchambua mambo ndiyo jambo la msingi
 
Undugulization umejaa CDM...
Kila kiongozi mkuu ndani ya CDM ana mtu wake kwenye ubunge...
Hata kama hana qualifications!!

wewe umeshindwa kujitambua manake ndani ya ccm {chama cha mabwepande} ndio kumejaa undugunization kama vile tunatawaliwa kifalme mfano familia ya mwinyi, Jk,makamba
 
Back
Top Bottom