mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 892
- 1,709
Katika pita pita zangu kujua kama kuna sheria mpya ya manunuzi nakutana na website ya gpsa ambae ni msimamizi wa manunuzi ya taasisi za umma lakini cha ajabu kila taarifa waliyoweka nikifungua kuona kama ntapata hiyo document husika ile link haifanyi kazi hebu tujaribu kua serious kidogo fanyeni kazi zenu kwa umakini huku nje tuna hitaji taarifa za uhakika