jibu rahisi kuhusu shida yako unatakiwa uangalie idadi ya satellite ambazo zinaonekana ktk simu yako pindi unapokuwa ume switch on gps yako,
Na zinapokuwa satellite zaidi ya nne utakuwa unapata results ambazo ni sahihi kwa kiasi ulani ila zinapokuwa 6 unapata eneo lenyewe halisi kama kuna tofauti ni futi 6 tu!,
Kuhusu Simu nyengine kuwa na gps huwa zinakuwa na gps application sio hardware hizo zinaitaji uwe na bluetooth gps device ambayo ukikonect na simu yako utaweza kupata vitu, Ila hizo simu unaweza kukuta kuna gmap au nokia map ambazo zina detect mnara wa simu kisha ina alocate position uliopo kutokana na mnara wa simu unaotumia hii inatokana na wanao funga minara na cuifanyia setting wengine wanaacha na settings za ulaya mfano unawezakuwa Mombasa Ukonga lakini kwenye map ukiangalia my location inakuonyesha upo england.
Thats all.
Mkuu ThinkPad umetoa angalizo la maana sana hapo nilipoweka rangi ya Mnyama
Ni kweli usipoangalia vizuri unaweza ukadhania simu yako ina gps kumbe haina ila inazo application tu! ila kama simu yako haina gps "still bado unaweza kuwa unatambua upo wapi kutokana na minara ya simu au unaweza kuweka program ndogo tu ya nokia ambayo kwakutumia gprs unaweza kuona mwenzako yupo eneogani katika ramani na ukaweza kumtumia message hapohapo halipo, hiyo ni hatua nzuri kwetu sisi tuliyo ifikia".
mimi mbona nina nokia 5800 inayo GPS lakini hakuna Satellite signal kabisa mimi niko Dar es salaam! natumia tigo ,Kwani GPS inahitaji settings??unaeka settings gani ili ifanye kazi Tanzania??mimi nilijua GPS haifanyi kazi Tanzania!
sasa kaka Tigo na yenyewe utaiweka kwenye first class telecomunication company, it uses very old technology in transimition compared to voda,zain and zantel. ukiwa na simu yenye functionality nyingi(advanced) dont use tigo u`ll be mis using ur 4n resources.
nokia e61i inakuwa na hii feature?
Why tiGO hawana network support kwa hii GPS feature?
ThinkPad Come again hiyo program ndogo unayo sema kuhusu kujua mtu yuko eneo gani na kumtumia...tueleze vyema mzee....naona umegusia tu kwa juu...hujaeleza vyema...
Mimi Simu Yangu inayo GPS inayo kabisa ingekua haina ingeniambia niconnect na GPS ya bluetooth lakini simu yangu inayo GPS man!
ok thinkpad thats clear but Mimi natumia Tiigo na Simu ya N78 lakini GPS data inaonyesha hakuna Satellite data kabisa!!!!!What shall i do?
tafuta google map ya mobile phone itaifanya hiyo kazi
Thanks for that Zion i will try exchanging the sim cards!@khalid and ndege
Ninachojua haiwezekani kukawa na service yeyote kati ya handset na satelite bila kuhusisha mtandao uliopo. Mimi nina e90 wit tigo chip lakini haifanyi kazi but nlipochange wit voda imework. Logicaly hakuna mawasiliano yatakayotokea btn ur handset na satelite bila kupita kwenye mtandao wako. So lazma mtandao wako usapoti hyo service.