GPA ya 3.5 vs Admission capacity

GPA ya 3.5 vs Admission capacity

Kasome waraka wa bodi ya mikopo
Af kuna mtu namfahamu analipiwa 3. 1


Mkuu Nakubali Unachoongea! Lakini Hiyo 3.1M ilikuwa Mwaka Jana Hata Mimi Nafahamu hilo! Ila Mwaka Huu Wamepunguza Pesa hawatoi Hizo 3.1M
 
anza kuandaa mashamba sasa na uwekeze kidogo unachokipata ktk maisha hasa pesa tumia vizuri ELIMU ni muhimu kwa nafasi yake ila bidii yako ya kutafuta pesa itakufanya uishi kama una PHd.
 
Mwaka huu wale wa PCB
tuliokuwa tunandoto za kusomea udaktari tumebaki tunakulaaaaaaa kwa macho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
haaaaa pole mkuuu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Habarini wakuu... Ujue me nashangaa saana kwa watu ambao wanalalamika eeti vyuo vingi sana sana vya afya vimeweka admission capacity ndogo sasa ukifatilia wengi wanaolalamika ni aambao hawajafikisha hyo GPA ya 3.5 .....nini maana yako ya ulalamishi tunaelekea ktk tanzania ya viwanda wanahitajika wasomi ambao wana uwezo mkubwa zaidi... Nawasilisha
Uwezo unapimwa kwa GPA ??? huo uwezo mkubwa unao ongelea wewe ni uwezo katika lipi? Ubunifu na ujuzi au kukalili majibu au uelewa?
 
Back
Top Bottom